Jamal Malinzi akubali kuachia ngazi TFF

Jamal Malinzi akubali kuachia ngazi TFF

Habari njema kwa wapenda soka la Tanzania na iwe funzo kwa wapenzi wa mpira, tusipende kuchagua makuwadi, majizi na wanyonyaji wa mpira, tuwape nafasi kwa wanaoweza kutufikisha tunapopataka sio dizaini ya kina malinzi na ndolanga
 
Leta source ya habari yako.. Alafu hao walioko rumande ndio sgntory wa pesa na ishu zote za hapo TFF.. uchaguzi hauwezi endelea kihivyo... rejea ishu ya FIFA.. mambo yote yanasimama..
 
Hii habari si njema kwa
1. Pdidy
2. Wanjiru
Jamani tuwafuatilie kwa ukaribu hawa watu wasije jiua
 
Mtanzania gani anamshukuru. Pini imepigwa toka kwa mzee wangu wa rwangwa na imesomeka
 
Back
Top Bottom