Jamaaniiii eeeeeeeh ulevi nomaaaaaaaaaa

Wamasai wamekuwa malimbukeni kweli na maisha ya mjini duh! Hapo yupo lindo. Kazi kweli kweli.

pamoja na ulevi ni wasjanja angalia alivyolala sio kaama walevi wa dar wanaalala chali injini wazi mwisho wanapasuliwa yai
 
Jamani mbona mnaleta thread za jumatatu leo? Hizi semina elekezi hazifai kabisa week end

haahahaaaaa! unaelekea kwa kinywaji nini kaka bujibuji. Ni tahadhari tu hiyo!
 
ulevi ni hatari saaaaana hebu muone huyu
lool
 

Attachments

  • ulev nnnnl.jpg
    33 KB · Views: 52
Huo hasa ndio utamu wa pombe.
 
Namsifu huyu masai,anaonekana ni mpiganaji wa kweli amekataa katakata kuanguka kifudifudi,ingawa alikuwa ameelemewa na pombe!mwanaume rijari daima uanguka chali !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…