Jamaa yangu kala boga na ua lake

Huna cha kushauri hapo, mke hana ushahidi wa lolote unless kama mbususu ya mama mkwe inaacha muhuri kwenye mashine...

Zaidi, jamaa arudishe huyo mkwe kwao, na kama hataki yeye amwambie mkewe kuwa anawapisha anawaachia nyumba...
Ahsante sana
 
Mama mkwe ni mdogo halafu kaachana na mme wake, halafu anaishi nao na anafanikiwa kuwapiga chabo.
Tena kuna kipindi mnabaki peke yenu nyumbani.

Nyie mmependana, cha kufanya mpangishie nyumba huyo mama mkwe wako ili uwe unaenda kulala huko usiku mzima.
 
Inasikitisha sana mambo yao waachie wenyewe, walikua wanatakana hao...
 
Sasa hapo ushauri wa nini tena wakati kashamaliza huo upuuz alofanya!! We mwambie tu azidishe hako ka mchezo atapata pengine thawabu huko mbeleni
 
Mmhh!!

5fd53000fcb4eecc8fc4d6ffdc6d505a.png
 
BINADAMU NI KAMA WANYAMA.

Ikumbukwe waliopona Moto wa sodoma&gomola Ni luthu na Mabinti zake wawili

Ila Wakati sodoma na gomora ikiendelea kuteketea kwa hasira za MUNGU watu kupelekeana Moto.

Bado Mabinti zake luthu walipata ujasili wa kumpelekea Moto baba yao mzazi.

NA HAKUNA KITU MUNGU,
ALIWAFANYA hao jamaa MPAKA LEO HII.

Na Ndo kizazi hiki tunachokishuhudia leo Hii.

Kwaiyo,
Kama mungu aliweza kuwasamehe luthu na mabinti zake kwa dhambi Kama ile,
Yeye Ni Nani mpaka asisamehewe?
 
Ukileta jambo leta katika uhalisia wake,maana kwa mwandiko huo inaonyesha huyo jamaa ni wewe!umemkula mamamkwe wako alafu unakuja kuomba ushauri ,wewe endelea kumla tu kama ulivyoamua maana ukiacha mama mkwe atalia kuwa umembaka na ushahidi atatoa kuwa ulivaa boxer rangi gani na mkunyege wako ulivyo
 
Back
Top Bottom