Jamaa yangu kala boga na ua lake

ryana fan

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
2,632
3,051
Habari wana JamiiForums.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Ninaye rafiki angu sana tumeshibana sana. Yeye ameao pande za Tanga. Binti wa kidigo mfupi kiasi, mzuri na anachoo cha kutosha.

Sasa juzi kati kaja home, nilivyomtazama nilimuona mtu wa mawazo sana. Nikamuuliza JX vip mbona si kawaida yako mkuu. Jamaa akaanza kunieleza jinsi alivyo Mla Mama mkwe wake. Tena mama aliyemzalia mke. Nilishangaa na kusikitika sana na kutaka kujua kwann huyu jamaa kafanya jambo ambalo si la kiungwana hivi? Wakati ana mke mzuri na mwenye makalio la haja aswaaa.

Mshikaji akanimbia kuwa mama mkwe wake ndiyo chanzo ya yote. Nikamwambia hata kama angekuwa chanzo lakini hukupaswa kufanya hivyo.

Yeye akaendelea kujitetea kuwa mara nyingi mke wake anapotoka kwenda kazini mama mkwe wake anamlazimisha amle. Akimwambia akikataa atamwambia mtoto wake yaani mke wa jamaa kuwa a anataka kumbaka. Sasa jamaa akawa anaogopa asije akampoteza mke.

Baadaye jamaa ananiambia kuwa mama mkwe wake huwa anawapiga chabo wakifanya yao usiku. Hadi anamwambia jamaa kuwa huwezi kula mtoto wangu vizuri hivyo alafu mimi hunibanie utaona, lazima nimwambie mwanangu kuwa unataka kunibaka.

Jamani hizi si dalili za laana kabisa. Jamaa anasema mama mkwe wake bado mdogo na aliachana na mumewe. Ndugu wana jamvi kuweni makini na wakwe wenu wengine si wastarabu hata kidogo.

Jambo hili limenifedhehesha sana. Imemfanya jamaa akose raha huyu jamaa tumshauri nini ili mke wake asijue chochote?

Nawasilisha
 
Huna cha kushauri hapo, mke hana ushahidi wa lolote unless kama mbususu ya mama mkwe inaacha muhuri kwenye mashine...

Zaidi, jamaa arudishe huyo mkwe kwao, na kama hataki yeye amwambie mkewe kuwa anawapisha anawaachia nyumba...
 
Watajua wenyewe bhana huo ni umbea wakufatilia maisha ya nyumba za watu
 
20211122_155417.jpg
 
Back
Top Bottom