Jamaa yangu kala boga na ua lake

Jamaa yangu kala boga na ua lake

Hakuna dhambi mpya. Huyo mama nae hajielewi, amepata alichotaka.
 
Kwaio huyo jamaa yako hana kazi za kufanya hadi mke wake aondoke kwenda kazini na kumuacha home
Kazi anayo. Hii I inshu ilitokea weekend yeye yupo nyumbani mke kaenda kazini kwake private office mkuu
 
Back
Top Bottom