jamaa watatu

jamaa watatu

1000 words

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
169
Reaction score
32
Jamaa watatu wamefanikiwa kufika kwenye kisiwa
kisicho na watu wala kisichojulikana baada ya
boti yao kuvunjwa na upepo mkali baharini.
Ghafla wakaokota nyupa, ile chupa ikatoa sauti:
"Kila mmoja wenu aombe chochote atakacho,
kimoja tu na atapewa."! Jamaa wakashtuka. Wa
kwanza akaanza: mimi naomba nijikute niko
nyumbani na familia yangu! Akatoweka akajikuta
kwake. Wa pili akasema: mimi naomba nijikute
kwetu naendelea na biashara zangu. Ghafla
akatoweka akajikuta home anaendelea na bizinezi
zake. Wa tatu akasema: mimi najiskia upweke
hapa kisiwani naomba wale wenzangu wawili
warudi niwe nao. Ghafla wakarudishwa
wakajikuta wote watatu kisiwani.
 
Huyo chalii wa 3 inaonekana hana majukumu, wanatakiwa wampige konzi masaa 24 kwa kupokezana....
 
Back
Top Bottom