jamaa watatu.......

kamtu33

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
999
405
Watu 3 walipangisha hotel ya gholofa sitini na walipata vyumba gholofa ya mwisho walipanda kwa lift na asubuhi wakashuka na lift jioni walipotoka kwenye mihangaiko yao walikuta umeme umekatika wakakubaliana wapande kwa kutumia ngazi, wakakubaliana kupeana hadithi wa kwanza za kufurahhisha kutoka gholofa ya 1-20, na wapili kuchekesha kutoka 21-40, na watatu kuhuzunisha 41-60 walipofika 59 jamaa akawambia ya kuhuzunisha zaidi tumesahau funguo reception!.
 
Weeee kama mie nalia then nalala hapo hapo kwenye ngazi

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
kushuka simple tu, unajiachia tu kwenye ngazi zen unaanza ku-roll kama mpira, kitaalam tunasema unadondoka kwa quantum energy (refer QUANTUM THEORY)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom