ni nowmer.
Mvua ilikuwa defining moment nilipokuwa mtoto, wakubwa wanapanda, mie natafuta kumbikumbe.
Sie kwetu hakuna askari wala nge, full wadudu wa kuliwa tu.
weee, kwenye kichuguu
walikuwepo wale wadudu wengine
kama masiafu yana vichwa vipana kama dole gumba
basi huwa yanawalinda kumbi kumbi
dah, ilikuwa karibu na kanisa
sasa hivi wameshaviharibu vichuguu vyote
I miss those days.
Wanaitwa MCHWA.weee, kwenye kichuguu
walikuwepo wale wadudu wengine
kama masiafu yana vichwa vipana kama dole gumba
basi huwa yanawalinda kumbi kumbi
dah, ilikuwa karibu na kanisa
sasa hivi wameshaviharibu vichuguu vyote
I miss those days.
walikudhuru??
Nimetazama taarifa ya habari ITV, kuna uhaba wa chakula huko Musoma Vijijini,
hali yenye imepelekea watu kula kumbikumbi na mboga za majani.
Tuache anasa pembeni, tuzungumzie nutritional factor za hilo menyu...
Full protini kwa kumbikumbi, miksa mavitamin kwa majani.
Mi nawaonea sana wivu hawa jamaa...
Do you?
Kumbi Kumbi na Senene........... YUMY !!!!!!!!!
hao hao, exactly
basi walikuwa wananiudhi
wewe utakuwa siyo mzima kamwone dactar mgomo umekwisha mwambie akupime akili
wanamme wa kiafrica
vitamu vyote wanawake hamruhusiwi kula