GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,541
- 6,020
Nakuja,ntakucheki kona.Kama upo tayr njoo
Nakuja,ntakucheki kona.Kama upo tayr njoo
Ilikuwa zamani, siku hizi hakuna kuzamia tenaNaskia hata pale GGM wanazamiaga kwa kufanya michongo na walinzi?
Sawa.Ilikuwa zamani, siku hizi hakuna kuzamia tena
Pesa za kizembe zinaishaga kizembePesa haipatokani kizembe
Hebu andika vizuri mkuu,mbona kama unakimbizwa na askari wa mgodini?. Mkagawana 150,siku ya pili 200,hizo ni hela,dhahabu au vidude gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu kasema pesa inapatikana kizembe!?Pesa haipatokani kizembe