Komandoo yule ngumi jiwe na hasira za kuchemka Ukraine.Kwambaje, Putin yeye mwenyewe ndiye aliyetoa kipigo!?.
Wayao,wangindo, wamwera, wamatumbwi, wafipa, wasafa, wanyantuzu na wamakonde washatupa majini yao kwa Putin dictatorwahudumu wa putin wanaweka mbali vifaa vyote vyenye ncha kali. au vitu vyenye mwonekano kama wa silaha.
kwani wanahofia Putin anaweza kuvitumia kudhuru watu wanao pishana nae njiani.
wanasema maranyingine hungata watu na meno yake yalio imara.
pia hua hapendi kuangaliwa usoni mara kwa mara.
sambamba na hilo pia putin huwa hafurahii kuona watu wakiwa wananongonezana huku wanamwangalia kwa jicho la wizi.
kwani akikuona anaweza kukurukia usoni na kukukwangua na makucha au vidole vyake vilivyo jengeka kimazoezi.
Na hupaswi kukwepa ama kupangua Kofi lake.. 😂Komandoo yule ngumi jiwe na hasira za kuchemka Ukraine.
wahudumu wa putin wanaweka mbali vifaa vyote vyenye ncha kali. au vitu vyenye mwonekano kama wa silaha.
kwani wanahofia Putin anaweza kuvitumia kudhuru watu wanao pishana nae njiani.
wanasema maranyingine hungata watu na meno yake yalio imara.
pia hua hapendi kuangaliwa usoni mara kwa mara.
sambamba na hilo pia putin huwa hafurahii kuona watu wakiwa wananongonezana huku wanamwangalia kwa jicho la wizi.
kwani akikuona anaweza kukurukia usoni na kukukwangua na makucha au vidole vyake vilivyo jengeka kimazoezi.
Yeah.......la sivyo atakurestisha in peace for good.Na hupaswi kukwepa ama kupangua Kofi lake.. 😂
Yamemkuta bwana Putingo....ayakoge tu.wahudumu wa putin wanaweka mbali vifaa vyote vyenye ncha kali. au vitu vyenye mwonekano kama wa silaha.
kwani wanahofia Putin anaweza kuvitumia kudhuru watu wanao pishana nae njiani.
wanasema maranyingine hungata watu na meno yake yalio imara.
pia hua hapendi kuangaliwa usoni mara kwa mara.
sambamba na hilo pia putin huwa hafurahii kuona watu wakiwa wananongonezana huku wanamwangalia kwa jicho la wizi.
kwani akikuona anaweza kukurukia usoni na kukukwangua na makucha au vidole vyake vilivyo jengeka kimazoezi.
HahahaaaNi dhahiri kachezea kichapo, ngumi za kwenye uso, ila alipohojiwa nani kampiga akagoma kutoa jibu.
Kwa hasira alizo nazo Putin sasa hivi inabidi kukaa mbali naye, hata kama una urafiki naye wa karibu kiasi gani, utachezea za uso muda wowote...
Ukraine inamuuma kichwa sana kwa kweli.
=============
Chief Russian propagandist Vladimir Soloviev appeared on air with bruises all over his face. He sound sad and refused to explain where he got bruises. "not your damn deal!" He said to fellow Russian propagandists. You versions, guys?