Jamaa naomba tusaidiane katika hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa naomba tusaidiane katika hili.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Piere. Fm, Mar 12, 2011.

 1. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jakaya Kikwete ameongoza Tanzania kwa zaid ya miaka mitano sasa je kama mtanzania ni jambo gani ambalo litakufanya umkumbuke kama Rais wako?
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Rais fisadi, mpenda mademu, na legelege anayejichekesha wakati wote kuliko marais wote!
   
Loading...