Jamaa mnaonaje ugumu wa kulea watoto?

Jamaa mnaonaje ugumu wa kulea watoto?

Mzee nimeshinda na mtoto siku mbili tu vile nilijipa ka-likizo,,, ebhana kwanza kulia nafikiri ni changamoto kubwa kuliko zote...mengine yanavumilika ila vilio vya mara kwa mara vinatia hasira kweli,,,vile unakuwa hujui anailia anataka nini..

InFact watu waliosema Wanawake inabidi uwa-treat kama watoto walikuwa sahihi,,,ndio maana wamama na watoto wanaelewana sana.

Heri ya mwaka mpya wakuu.
 
huwa naangalia Animal documentaries , Mnyama yoyote jinsia ya Ke , kwa watoto anakua wakitofauti sanaa sana.
Mkuu mimi mwanaume, nilipopata mtoto wa kwanza kwangu that was the best experience. Ile kumlea kumbadilisha diapers, kumpa maziwa ilikuwa ni burudani. Nilikuwa naenda naye yani nilikuwa namchukua kwa mama yake saa mbiki asubuhi nashinda naye kila nakoenda namrudisha saa mbili usku.
 
Ooopss sorry Mkuu, nmekupata vema !!

Sema katika hayo ,kuna kafeeelings fulani ka raha unakua unakapata.
 
Kunya Mara kwa Mara

Kulia Mara kwa Mara, ananyamaza huyu ,huyu anaanza , na vinalia vina sababu

Kula sasa kila baada ya masaa mawili uwalishe, yaan usiku unalala kwa kuegesha , utasikia ng'aaaaaaa hiiiii tayari unaamka kulisha .

Kufua , kubadili mapampas

Hujakaa sawa vimefinyana

Kuvibadili Nguo nakuviogosha kila Mara

Juzi kakubwa kamemaliza Kunya, sasa ile nakaingiza bafuni kukasafisha.

Kurudi sebulen, nakuta kadogo kamekunyaaa, kametapakaza mavi yaan kama vile kalikua kanaseleleka

nikakapeke bafuni, nmekakosha fresh. Narudi room ,nikavalishe, sasa ile kukabeba ,kakanya yaan ndo kakaninyea kabisa nyaa

Nilikasirika sana, Mimi mwenyewe naumwa , siku tano ,nipo ndani ,sitoki popote pa mbali

Yaan huku unapika ,huku kanalia, kengine kanaporomoa vitu .

Muda wote MTU upo macho tuu.

Jumapili navirudisha...Nimechoka Wakuu.
Bora hata yote hayo ila kuugua ndio shida kubwa pressure kama zote hasa kama katoto ni kamoja.
 
Alafu kuna mpuuzi mmoja utakuta Anamtukana mkewe ambaye ni mama wa nyumbani analea watoto bila housegirl na kufanya mikazi yote ya nyumbani kwamba umekaa kaa tu hapa kazi kula kulala....

yaani cku akichafukwa akaondoka akakuachia watoto ndo UTAJUA HUJUI

Hakuna kazi zinakera na kuchosha kama kulea na mikazi ya nyumbani ni kazi zisizoisha
 
Mzee nimeshinda na mtoto siku mbili tu vile nilijipa ka-likizo,,, ebhana kwanza kulia nafikiri ni changamoto kubwa kuliko zote...mengine yanavumilika ila vilio vya mara kwa mara vinatia hasira kweli,,,vile unakuwa hujui anailia anataka nini..

InFact watu waliosema Wanawake inabidi uwa-treat kama watoto walikuwa sahihi,,,ndio maana wamama na watoto wanaelewana sana.

Heri ya mwaka mpya wakuu.
Na kwako pia mkuu
 
Kunya Mara kwa Mara

Kulia Mara kwa Mara, ananyamaza huyu ,huyu anaanza , na vinalia vina sababu

Kula sasa kila baada ya masaa mawili uwalishe, yaan usiku unalala kwa kuegesha , utasikia ng'aaaaaaa hiiiii tayari unaamka kulisha .

Kufua , kubadili mapampas

Hujakaa sawa vimefinyana

Kuvibadili Nguo nakuviogosha kila Mara

Juzi kakubwa kamemaliza Kunya, sasa ile nakaingiza bafuni kukasafisha.

Kurudi sebulen, nakuta kadogo kamekunyaaa, kametapakaza mavi yaan kama vile kalikua kanaseleleka

nikakapeke bafuni, nmekakosha fresh. Narudi room ,nikavalishe, sasa ile kukabeba ,kakanya yaan ndo kakaninyea kabisa nyaa

Nilikasirika sana, Mimi mwenyewe naumwa , siku tano ,nipo ndani ,sitoki popote pa mbali

Yaan huku unapika ,huku kanalia, kengine kanaporomoa vitu .

Muda wote MTU upo macho tuu.

Jumapili navirudisha...Nimechoka Wakuu.
Ndo maana tunaambiwa tuwaheshimu sana akina Mama, TUWAPENDE NA TUWATHAMINI KINA MAMA WOTE. HAYO ULIYOPITIA WIKI MOJA WAO WANAPITIA ZAIDI YA MIAKA 5.
 
Dah.... Hii mbilinge naielewa sana....Nina mapacha wa kiume....walikuwa wanalala sana mchana ikifika usiku Mambo yanaanza.....walipoanza kujitegemea ndiyo ikawa mbaya zaidi..waharibifu...ilinibidi kila kitu kiwekwe juu....walinipa hasara sana....nikaanza kuwakodisha kwa wenye nyumba zilizopoa ili wazichangamshe...wengi waliwakubali.....nikiwaangalia sasa hivi ...walivyo poa...wanagawana majukumu ya nyumbani wenyewe....nacheka moyoni...tumetoka mbali🤭
 
Single mother wanastahili pongezi sana kulea sio mchezo,tulikuwa tunaangaika na wife hasa mida ya usiku mtoto analia balaa,mara muende hospitali usiku wa manane na kivumbi sasa tulivyopata mapacha kila mmoja anamchukua wake kubembeleza alale madogo wanalia balaa mpaka alale upo hoi[emoji23][emoji23] saizi walau wamekua wanapendeza kwa kweli ila shughuli tuliipata.
 
Mkuu mimi mwanaume, nilipopata mtoto wa kwanza kwangu that was the best experience. Ile kumlea kumbadilisha diapers, kumpa maziwa ilikuwa ni burudani. Nilikuwa naenda naye yani nilikuwa namchukua kwa mama yake saa mbiki asubuhi nashinda naye kila nakoenda namrudisha saa mbili usku.
Duuuh
 
Back
Top Bottom