Jamaa mnaonaje ugumu wa kulea watoto?

Jamaa mnaonaje ugumu wa kulea watoto?

Aka Kadogo usiku kanalia ,unaweza mpa msosi kilioo, ukajichekesha wee kiliooo tu, unakabeba unazunguka ndani kama fala kenyewe kiliooo tuu ,utakawashia vimidoli ,wapiii kiliooo , basi ni kukabembeleza bembelezaaa, unafumba macho huku unakabembeleza eeehy eehh lalaaa lalaa laaa laaaa Mamaa lalaaa eeehhh mama ohooo lalaa
Inabidi tu ufanye chochote ili anyamaze ila ni fujo sijui hawa wenzetu wanawamuduje. Last week before xmas kuna dada mmoja aliniachia mwanae kwa dakika chache asee mtoto alilia yule nkambembeleza ndani ya kama dakika 5 na alivyo mzito nikaona isiwe tabu nkamuitia mwanae.
 
Waheshimuni sana kina mama, ulezi sio kazi ndogo.
Mshaanza [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] soon wenzako wataanza kuzungumzia hela...Hebu jikite kwenye mada
 
Aka Kadogo usiku kanalia ,unaweza mpa msosi kilioo, ukajichekesha wee kiliooo tu, unakabeba unazunguka ndani kama fala kenyewe kiliooo tuu ,utakawashia vimidoli ,wapiii kiliooo , basi ni kukabembeleza bembelezaaa, unafumba macho huku unakabembeleza eeehy eehh lalaaa lalaa laaa laaaa Mamaa lalaaa eeehhh mama ohooo lalaa
ana njaa huyo mpe maziwa
 
Mimi nilienjoy hii shughuli wakati wa mchana nilipopata mwanangu wa kwanza. Nilikuwa kama chizi nazurula naye toka asubuhi mpaka jioni wakati ana miezi 5 mpaka 9.
Ila saaa kakua miaka 7 soon.
huwa naangalia Animal documentaries , Mnyama yoyote jinsia ya Ke , kwa watoto anakua wakitofauti sanaa sana.
 
Back
Top Bottom