Jamaa mnaonaje ugumu wa kulea watoto?

Jamaa mnaonaje ugumu wa kulea watoto?

Hivi nyie huwa hamkasiriki??.

Vimenifanya usiku nashtuka shtuka kama Alarm , Usingizi siupati mzuri.

Kama huyu mdogo ndo kabisaaa ananipasua Kichwa.
Huyo mama aliyewaacha watoto wake kwa muhuni ana matatizo ya akili. Haki ya nani! Wiki mbili watoto wapo mikono hatarishi?
 
Aka Kadogo usiku kanalia ,unaweza mpa msosi kilioo, ukajichekesha wee kiliooo tu, unakabeba unazunguka ndani kama fala kenyewe kiliooo tuu ,utakawashia vimidoli ,wapiii kiliooo , basi ni kukabembeleza bembelezaaa, unafumba macho huku unakabembeleza eeehy eehh lalaaa lalaa laaa laaaa Mamaa lalaaa eeehhh mama ohooo lalaa
🤣🤣🤣🤣
 
Kunya Mara kwa Mara

Kulia Mara kwa Mara, ananyamaza huyu ,huyu anaanza , na vinalia vina sababu

Kula sasa kila baada ya masaa mawili uwalishe, yaan usiku unalala kwa kuegesha , utasikia ng'aaaaaaa hiiiii tayari unaamka kulisha .

Kufua , kubadili mapampas

Hujakaa sawa vimefinyana

Kuvibadili Nguo nakuviogosha kila Mara

Juzi kakubwa kamemaliza Kunya, sasa ile nakaingiza bafuni kukasafisha.

Kurudi sebulen, nakuta kadogo kamekunyaaa, kametapakaza mavi yaan kama vile kalikua kanaseleleka

nikakapeke bafuni, nmekakosha fresh. Narudi room ,nikavalishe, sasa ile kukabeba ,kakanya yaan ndo kakaninyea kabisa nyaa

Nilikasirika sana, Mimi mwenyewe naumwa , siku tano ,nipo ndani ,sitoki popote pa mbali

Yaan huku unapika ,huku kanalia, kengine kanaporomoa vitu .

Muda wote MTU upo macho tuu.

Jumapili navirudisha...Nimechoka Wakuu.
Halafu mtoto anakuja kukudharau unaweza kumnyea kwakweli
 
Mkuu itabidi uzoee tuu maana safari bado ndefu mno, na hapo dogo bado hajafika umri kama wa mtoto junior 😁kazi unayo
 
Hahahah we fala umenifanya nimecheka kinyama yaan
 
Na anavyonitisha sasa, "ukizembea kidogo tuuu wanapungua uzito .."

Basi inanilazim kutumbua macho kila baada ya masaa mawili matatu hata kama niusiku ,niwaamshe ,niwalishe ,waendelee kulala.
Mkuu kwanza hongera sana kwa kulea. Ni experience yenye usumbufu lakini ni nzuri na muhimu mno kuipitia.

Ambacho sijaelewa ni hapo unapokatika usingizi wao ili uwape chakula. Si jambi zuri kukatiza usingizi wa mtoto.

Tulielimishwa ubongo wa mtoto unapata nafasi ya kukua anapolala. Ndio maana mtoto analala muda mrefu kwa kuwa anahitaji utulivu ili akue.

Nakushauri wakilala waache walale, kama ni kula watakula wakiamka tena itakuwa vizuri maana watakula kwa interval nzuri.

Unaweza kuta wanalia mno kwa kuwa matumbo yanakaza kwa kuwa na chakula kisichomeng'enywa maana kila muda unawapa tu chakula.

Ila kwa sisi wanaume kulea ni kazi asee na ilinifunza mengi sana kuhusu watoto na wanawake.
 
Kunya Mara kwa Mara

Kulia Mara kwa Mara, ananyamaza huyu ,huyu anaanza , na vinalia vina sababu

Kula sasa kila baada ya masaa mawili uwalishe, yaan usiku unalala kwa kuegesha , utasikia ng'aaaaaaa hiiiii tayari unaamka kulisha .

Kufua , kubadili mapampas

Hujakaa sawa vimefinyana

Kuvibadili Nguo nakuviogosha kila Mara

Juzi kakubwa kamemaliza Kunya, sasa ile nakaingiza bafuni kukasafisha.

Kurudi sebulen, nakuta kadogo kamekunyaaa, kametapakaza mavi yaan kama vile kalikua kanaseleleka

nikakapeke bafuni, nmekakosha fresh. Narudi room ,nikavalishe, sasa ile kukabeba ,kakanya yaan ndo kakaninyea kabisa nyaa

Nilikasirika sana, Mimi mwenyewe naumwa , siku tano ,nipo ndani ,sitoki popote pa mbali

Yaan huku unapika ,huku kanalia, kengine kanaporomoa vitu .

Muda wote MTU upo macho tuu.

Jumapili navirudisha...Nimechoka Wakuu.
Watoto wamekurisi kunya kunya
 
We wakiume au wakike? Wazazi wako walihangaika na wewe na kibatari bila Umeme; na matambara hata pampas haikuwepo!

Wakati mwingine Mama yako alikubeba Kwenda Shamba, na Kulima ukiwa mgongoni, Kwa mazingira yote hayo aliendelea kukomaa; acha ulalamishi WA kijinga.
 
Kunya Mara kwa Mara

Kulia Mara kwa Mara, ananyamaza huyu ,huyu anaanza , na vinalia vina sababu

Kula sasa kila baada ya masaa mawili uwalishe, yaan usiku unalala kwa kuegesha , utasikia ng'aaaaaaa hiiiii tayari unaamka kulisha .

Kufua , kubadili mapampas

Hujakaa sawa vimefinyana

Kuvibadili Nguo nakuviogosha kila Mara

Juzi kakubwa kamemaliza Kunya, sasa ile nakaingiza bafuni kukasafisha.

Kurudi sebulen, nakuta kadogo kamekunyaaa, kametapakaza mavi yaan kama vile kalikua kanaseleleka

nikakapeke bafuni, nmekakosha fresh. Narudi room ,nikavalishe, sasa ile kukabeba ,kakanya yaan ndo kakaninyea kabisa nyaa

Nilikasirika sana, Mimi mwenyewe naumwa , siku tano ,nipo ndani ,sitoki popote pa mbali

Yaan huku unapika ,huku kanalia, kengine kanaporomoa vitu .

Muda wote MTU upo macho tuu.

Jumapili navirudisha...Nimechoka Wakuu.
[emoji23][emoji23]usiwarudishe mkuu we lea tu
 
Back
Top Bottom