Pamoja na makosa (kufanya vitu hadharani, binti labda bado mdogo etc) sidhani ni vizuri kuanza kumdhalilisha mtu kwa kutompa chance ya kuvaa nguo. Kama ushahidi nafikiri video na picha zinatoksha.
Hizi picha zilishaletwa hapa jf mwaka jana
Inawezekana huo ulikuwa ni mtego ili asikimbie. Binti naona amevaa ati.Huyu jamaa nae...yaan kwenye gari anavua nguo??alistahili yaliyompata.
Huyu jamaa nae...yaan kwenye gari anavua nguo??alistahili yaliyompata.
Huyu jamaa nae...yaan kwenye gari anavua nguo??alistahili yaliyompata.