Jamaa kanikamata ugoni kwa kutumia sms nilizokuwa nachat na mke wake

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,139
Salaam!

Za mwizi ni 40, Kama wanenavyo wahenga!! Inshu iko hiv, juz nilikuwa nachat na manz kupanga maeneo mhim ya kwenda kuunganisha viungo mhim katka mwil,Sasa baadae mme wake zile sms kazkuta,akambana mkewe akasema kila kitu, kilichofata jamaa kaenda kushtaki kwa viongoz kuwa tayar kanikamata ugoni,viongoz leo wametuma makamanda kuja kunikamata ili nikalipe fain ya ugoni,na Sana Sana huwa wanalipa ng'ombe mmoja, na mim kwa Sasa nimejificha sehem.

•Wadau naomba mnipe msaada wa mawazo maana nataka nikatae ng' ombe kirahis rahis tu iende inaniuma Sana wadau lakin je ntarukaje hii kess?

•Mwenye uzoefu uliewah kukutana na hii kes njoo unipe mbinu za kuruka
 
We ni takataka kama takataka zingine tu. Wanaume wa kweli ukishaona demu ana mimewe unakausha.

Ingekua haujui apo sawa, ila unajua na bado ukaendelea na ufirauni wako naona adhabu haikutoshi kabisa.

Narudia tena we ni msela mavi takataka kabisa
 
Jamani naomba unisaidie,nna hali mbaya mwenzio
 
Hii sio ukweli ugoni ni kukamatwa mnafanya tendo la ngono au mpo room uchi hapo ndio ni ugoni.
Pia kama umezaaa na mke wa mtu.
Mtoto ndo ushuhuda wa ugoni wenyewe kuwa ulifanya hilo tendo.

Lkn wewe umetuambia ulikuwa unapanga sehemu kwenda kuzini .
Sasa ugoni upo wapi???

Story zingine hizi.
 
461ea431-c46a-4ebf-92fa-6925df86b327.jpg
 
Hii sio ukweli ugoni ni kukamatwa mnafanya tendo la ngono au mpo room uchi hapo ndio ni ugoni.
Pia kama umezaaa na mke wa mtu.
Mtoto ndo ushuhuda wa ugoni wenyewe kuwa ulifanya hilo tendo.

Lkn wewe umetuambia ulikuwa unapanga sehemu kwenda kuzini .
Sasa ugoni upo wapi???

Story zingine hizi.
Mkuu iko hivi,huyu mwanamke huwa tuazini nae Mara kwa Mara,ko alipobanwa na mmewe kaeleza kwamba sis Ni wapenzi wa muda mrefu,kwa hyo mmewe anatumia kile kigezo Cha kumlala kipind Cha nyuma,maana hata sms zmeonesha moja kwa moja kuwa huwa tunazin nae
 
Back
Top Bottom