Jamaa katuma wrong sms kwa mkewe!

Kama wana mazoea ya kutaniana baada ya kutuma sms angempigia simu nakumwambia mpenzi siku moja nikikosea kutuma mesage ya kimada changu na kukutumia wewe kama hiyo sms utafanyaje au vyovyote vile ambavyo yeye anaona inawezekana ilimradi ionekane alituma kwa kusudia na sio kwa kukosea ila siku nyingine asirudie kumtumia dem wake wa nje sms ila awe anampigia ni vizuri zaidi
 
Hakuna anayefundisha mtu uovu hapo...watu wanajribu kuokoa ndoa hapo! Ngoja yakukute ndio utaona umuhimu wa kupata ushauri humu.
Mnaokoa ndoa gani? Hvi umuhimu wa ndoa ni watu kuishi nyumba moja au ni kuheshimu yale makubaliano mliyowekeana toka mwanzo? Tangu hapo hakuitaka ndoa ndiyo maana alitoka nje. Hata mrembe, mpake asali ukweli unabaki pale pale huo ni uovu. Kikubwa ni kubadili tabia na kuacha kuficha uovu! Neno la Mungu linasema Chachu kidogo huchachua donge zima.
 
Kwa experience yangu, na kama ana mke makini (kama mimi) siku zake zinahesabika. Kwani waife atajifanya kamuelewa sana tu ila ajue wazi from now on he is being watched closely. Kwa kifupi ajirekebishe na ahache kabisa kutoka nje. Kwani next time akikamatwa yatafufuka yote na ya hiyo message. Tena nampa miezi miwili tu akiendelea utakuja kutusimulia kwani mwanamke yeyote mwenye akili ataanza kupeleleza kupata evidence, asijeshangaa anawekewa FBI kila anakokwenda bila yeye kujua.
 
kama ni mimi nakataa kabisa kuwa meseji ni yangu ..ntamwambia mama gaude wangu kuwa unajua mitandao hii ya simu na mapromosheni haya network zinaingiliana unakuta meseji zikiwa hewani zinapotea njia maana mkongo wa mawasiliano wa taifa unazidiwa sasa kwa kuwa simu yako hutumi tumi meseji ndo maana zinakuja kwako maana inbox in nafasi..lakini tupige huko Tigo tuwaulize meseji hii imetoka wapi....nikimaliza utetezi wangu navuta cocacola baridi naendelea kuangalia TV kipindi cha mzee wa upako ...issue imeisha hapo
 
Ahahahaah!! Kigogo umeuwa!
 
Mmmmh!
Nyie wanaume mpoje lakini?
Amwambie alimuazima mtu simu yake na hajui alichokifanya.
Akishindwa aseme ukweli kuwa alilala na mwanamke mwingine.
Za mwizi arobaini. Nae amezidi.
Bichwa lake.

nimependa hiyo nyekundu... ha ha haaaaaa
 
Kama hujao useme wewe ndiye uliandika hiyo sms kwenda kwa mtu wako, kama umeoa tafuta jamaa yenu ambaye hajaoa aseme yeye ndiye aliandika kwa mtu wake. Illa mwambie huyo jamaa yako aache ufenenge, mtu ana mke mzuri hivyo halafu aenda kwa Vibiriti Ngoma!!

waswahili husema tu mboga aina moja kila siku inachosha. Labda alitamani fleva ya pwani.
 
Hizi ni stori za kutunga!!
halafu naona kuna watu wanaleta story kisha JF wanajadili, kuna siku watu watatunga hadith kutoka na mawazo ya wengine.. wtachakachua stori zooote , copy, paSte, edit, mara kitabu hichoo....mhhhhh JF bwana, I LOVU U
 
Husninyo, D A, Lizzy etc Mwajifunza nin toka ktk hz threads? teh! teh!
 
Ama kweli za mwizi arobaini, nikiwa naendelea na kazi zangu humu ofisini kuna rafiki yangu mmoja amekuja ofisini kwangu macho yamemtoka, sijamuuliza tayari akanipa simu yake na kunionyesha sms ambayo kwa wakati huo ilikuwa bado ipo juu ya screen. Aliposcroll hadi chini nikaona ni jina na namba ya mke wake. Ujumbe ambao uliforwadiwa na mywife wake uliandikwa hivi: "SIKUTEGEMEA KAMA UNA MAPENZI MATAMU NAMNA ILE, YAANI JANA NIMELALA MWEPESI NA HATA KWENYE NDOTO ZANGU WEWE NDO ULITAWALA, NAAHIDI SITOKUACHA DEAR!". Sababu ya kuja kwangu mbio ni kunieleza kosa alilofanya na kuniomba ushauri ili akakabiliane na mkewe nyumbani. Nimebaki nacheka ingawa jamaa anataka kulia na nikamuahidi tukapate lunch pamoja ili tuchakachue ishu. Nimshauli vipi jamaa huyu ili wainusuru ndoa yao?
icon6.png

Hapa ngoma nzito kama usiku wa kuamkia siku ya kutuma sms hakummega mkewe hapo ndo kasheshe.
 
...panic ya nini, kwani jana hakulala kwake? amwambie ndio kamtumia yeye (mkewe) ujumbe huo.
Tena mwambie akakamae na kumkazia macho wakati akiyatamka hayo iwapo atashindwa mkumbatia.

Na kama hakutoa huduma kwa wife siku hiyo asemeje?:disapointed:
 
Na kama hakutoa huduma kwa wife siku hiyo asemeje?:disapointed:

Kwa maelezo yake hakutoa, amechoshwa na kazi, alikuwa bize sana siku huyo!
Huyu arobaini yake imefika, labda mke aamue kuichubulia hiyo ishu. Iko wazi sana.:bored:
 
Mkuu issue ni simple...kwani hukulala nyumban kwa mkeo na ile mambo ya kikubwa hamkupeana? sasa basi gia iwe hiyo na isionyeshe kuwa na wasi wasi atakapokuuliza...wewe ichukulie issue kama mzaha..muulize kwani mapenzi anayokupa si ni kweli matamu. usikatae kama sms haikuwa yake.

Ama kweli za mwizi arobaini, nikiwa naendelea na kazi zangu humu ofisini kuna rafiki yangu mmoja amekuja ofisini kwangu macho yamemtoka, sijamuuliza tayari akanipa simu yake na kunionyesha sms ambayo kwa wakati huo ilikuwa bado ipo juu ya screen. Aliposcroll hadi chini nikaona ni jina na namba ya mke wake. Ujumbe ambao uliforwadiwa na mywife wake uliandikwa hivi: "SIKUTEGEMEA KAMA UNA MAPENZI MATAMU NAMNA ILE, YAANI JANA NIMELALA MWEPESI NA HATA KWENYE NDOTO ZANGU WEWE NDO ULITAWALA, NAAHIDI SITOKUACHA DEAR!". Sababu ya kuja kwangu mbio ni kunieleza kosa alilofanya na kuniomba ushauri ili akakabiliane na mkewe nyumbani. Nimebaki nacheka ingawa jamaa anataka kulia na nikamuahidi tukapate lunch pamoja ili tuchakachue ishu. Nimshauli vipi jamaa huyu ili wainusuru ndoa yao?
icon6.png
 
DA kweli unazeeka vibaya...sasa hujaelewa nini wakati anaeleza kuwa sms ilikuwa itumwe kwa small house shetan akashika hatamu ikatumwa kwa wife sasa waif akairudisha kwa jamaa kwan hakuwahi kutumiwa sms tamu tamu kama zile na pia inawezekana usiku huo hawakuchakachua sasa waif medula oblingata ikacharuka
Nazeeka vibaya huo ujumbe uliforwadiwa na mkewe kutoka wapi?? Nisamehe sijui njaa kama sijaelewa
 
Back
Top Bottom