Jamaa kampa mimba Mama Mkwe,

Mama mkwe below 45 akijichetua kwanini asiliwe sasa?, si ndio kuja kuitwa mwanaume wa Dar. Piga mzigo labda wametumana na mwanaye wakujaribu uwezo Mkuu
 
duuh ila maisha haya yanakoelekea yaani hata kumuonea huruma mwanae aliyemzaa..maana hapo aliyemuanza ni mama mkwe
 
Kuna vitu ukishindwa kusikitika unacheka kwa uchungu.

Sasa wakiwa kwenye umalaya mama mkwe alikuwa analia vip?...anamuita baby, my love, mwanangu ama?😀😀😀
😀😀😀😀😀 hii sijui tuiiteje
 
Jamaa anaenda kupata mtoto ambaye atamuita baba mkwe
Sio kwamba jamaa atapata mtoto wake na shemeji pia?

Mtoto atakuwa na baba yake ambae ni shemeji yake pia.

Mke atakuwa na mume ambae ni baba yake wa kambo. Pia atakuwa na mdogo wake ambae ni mtoto wake wa kambo pia.

Hii ni 'incest'.
 
Kuna vitu ukishindwa kusikitika unacheka kwa uchungu.

Sasa wakiwa kwenye umalaya mama mkwe alikuwa analia vip?...anamuita baby, my love, mwanangu ama?[emoji3][emoji3][emoji3]
Naona unajiuliza maswal mengi mkuu,,ha ha ha itakua alikua anamuita baby mkwe
 
Binti alijiponzaa kumhadithiaa mamaye utukutu wa mmewe mama kaonaa isiwe tabuuuuu ngojaaa ajaribuuu
 
Mimi nashauri weka picha ya huyo mama mkwe ili nitoe ushauri. Usije kutaa mam mkwe. Alikuwa mtam zaid
 
Mama amkwe awe mke wa pili, na kama wametokea tanga naimani ni wale wa mnyazi-mungu
 
Inaonekana huyo mama ndo alimtega jamaa ,haingii akilin Kwa mwanaume unaejielewa uanze kumtongoza mama mkwe wako si rahisi kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…