Jamaa kampa demu mimba halafu kamkimbia

Jamaa kampa demu mimba halafu kamkimbia

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
332
Reaction score
950
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale, nina mwanangu mmoja ni mwanangu sana zaidi ya kaka ni mkubwa kwangu sasa alikuwa na demu wake mmoja hivi ni pisi kali mtoto mweusi flani ana sura nzuri na shepu sasa jamaa katika kula kula mzigo maraa oh mimba ikanasa sasa baadae anamwambia jamaa na mimba yako jamaa kamtia block demu then kamwambia demu aache kumtafuta inshort ampotezee tu wala hajampa mimba yeye ikawa ugomvi mkubwa then jamaa kupisha msala katoroka mjini hapa.

Sasa demu ananifaa mimi akawa anawasiliana na mimi akanisumulia yote ikabidi mimi niwe nampa matumaini kuwa mimba asiitoe tu aaiche hadi atakapojifungua; demu kakubali nikiwasilia ana na jamaa angu anasema huyo demu tapeli tu wala hajampa mimba yeye mwambie aache mazoea.

Basi ikapita miezi miwili mimi na demu wa jamaa tunawasiliana tu vizuri ananiita shemu sasa juzi kati demu amenitafuta anasema yupo hospitalini mimba imeshuka yaani imearibika nikampa pole kumbana sana ndio ananiambia ukweli kuwa mimba ameamua kuiaribu tu kwa maana hata mtoto angezaliwa angekosa baba kwani jamaa kakaataa mimba yake.

Daah nikauzunika sana sasa nachati nae sana huyu demu ni wife material mno ana tabia nzuri na ni mpole jana nimemwambia nipe nafasi ya kuishi na wewe maana kiukweli huyu demu alipokuwa na jamaa nilikuwa namtani sana sema ndio hivyo ila demu kaniambia nakujua shemu una roho ya kipekee unaweza kuishi na mwanamke ila ntakupa jibu lako.

Leo demu kanichana kuwa amekubali ila nisijekumuumiza kama alivyoumizwa na jamaa; anasema ameshakata tamaa na ya mapenzi kama na mimi nitamuumiza nitakuwa nimemkosea sana halafu nirudi nyuma jamaa ndio alionipaga namba yake alisema ww huyo demu kama unamtaka mchukue tu mimi sina mda nae.

Kipindi demu bado hana mimba kumbe jamaa alijua alimwagia ndani. Niendelee na stori leo nimemcheki jamaa na kumpa habari juu ya mimba yake kuaribika jamaa anacheka wala hashtuki nikamwambia mimi nipo tayari kuushi na huyu demu jamaa kasema ww mchukue tu.

Wakuu tuacheni kuwachezea wanawake kama mtu haumtaki mchane live inauma mno

Nawasilisha

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Acha unafiki kaka

Huyo demu umesema amekubali kuwa na wewe, ni demu wako wa kwanza?

Huoni mademu zako wa nyuma uliwachezea pia?

Sasa huyo kama amekubali kuwa na wewe kimahusiano, huyo ndiyo mwanamke wako wa mwisho?

Yaani haya maisha kuna mambo / matukio lazima yatokee ili maisha yaendelee.
 
🤣🤣🤣🤣 Asingeitoa mtoto akazaliwa hapo ndipo ungeona maajabu ya sisi wanaume.

Ingemfika muda jamaa anasema anataka apewe mtoto akaishi naye hawezi tupa damu yake.

Yani angejiona ana haki kuliko mama mtoto.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asingeitoa mtoto akazaliwa hapo ndipo ungeona maajabu ya sisi wanaume.
Ingemfika muda jamaa anasema anataka apewe mtoto akaishi naye hawezi tupa damu yake.
Yani angejiona ana haki kuliko mama mtoto.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣 Asingeitoa mtoto akazaliwa hapo ndipo ungeona maajabu ya sisi wanaume.
Ingemfika muda jamaa anasema anataka apewe mtoto akaishi naye hawezi tupa damu yake.
Yani angejiona ana haki kuliko mama mtoto.
Mwanangu hiyo vita ndo napambana nayo. Demu hataki kunipa mwanangu aisee naumia!! Halafu dogo kashajua mie ndo baba na tulivyofanana Yani acha TU!!!
 
Daaah pole mkuu na ww uliikataa mimba?

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Nilikataa coz alikuwa wakusoma,,ila nilikuwa Nampa Kila kitu mwishoni kamapa mtu ambaye namjua, nilimwambia mshikaji,,jamaa alimpenda sana demu. Na Mimi namlenda sana mwanangu. Jamaa tupo mtaani Wana wakamchana akamuacha mtoto. Sasa napata tabu maana baba mkwe alishakataza hata kumuona kwake japo alijua mzigo ni wangu. Ila kwao wote demu wanajua mtoto wangu . Basi mwanangu hata kukuona mpk niwatume mashemeji zangu wamuibe wake nae hom, wamlete ground ninapofanya mazoezi. Nateseka mwanangu we sikia TU!
 
Nilikataa coz alikuwa wakusoma,,ila nilikuwa Nampa Kila kitu mwishoni kamapa mtu ambaye namjua,,nilimwambia mshikaji,,jamaa alimpenda sana demu. Na Mimi namlenda sana mwanangu. Jamaa tupo mtaani Wana wakamchana akamuacha mtoto. Sasa napata tabu maana baba mkwe alishakataza hata kumuona kwake japo alijua mzigo ni wangu. Ila kwao wote demu wanajua mtoto wangu . Basi mwanangu hata kukuona mpk niwatume mashemeji zangu wamuibe wake nae hom,,wamlete ground ninapofanya mazoezi. Nateseka mwanangu we sikia TU!!
Daaah pole sana mkuu

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwahiyo umeamua kumchukua demu?

Daah kua makini lakini huyo demu sikukatalii sana maana wewe ndio unamjua vizuri pengine ama yeye ndio anajijua vizuri zaidi kuliko unavyowazia, ila itakubidi kukaza moyo sana kuishi nae, maana kama ulijitolea na kumwambia asitoe mimba na akatoa mm tayari nimeona anazingua kuua kiumbe kisicho na hatia, wangapi wanakatiliwa mimba na wanalea aisee? Yeye ni nani aamue maamuzi ya muda wa kuishi kwa kiumbe cha Mungu?

Jambo la pili huyo jamaa ako labda ujitajidi umpoteze kama sehemu ya maisha yako ila hakika utamumia moyo sana endapo atakua anakuja kukusalimia alafu unajua kabisa alishamla mkeo, yaani kama amekuja kwako naamini hata kazini ukienda utakua na wasiwasi ulivyowaacha nyumbani, kuna mengi ya kutafakari mkuu.

Ila mm nahisi umetumia advantage ya kosa la rafiki yako kumla huyo demu maana inavyoonekana ulikua unamtaka toka kipindi akiwa na jamaa ako, sasa hapo umetumia wakati huu akiwa na maumivu moyoni kama mwanya wa kuingiza majeshi yako chap.

Nakutakia maisha mema na mchumba bn kama kweli ni wife material ila tafakari kwanza mkuu
 
Mkuu kwahiyo umeamua kumchukua demu??

Mkuu nashukuru kwa ushauri ulionipa ila pia ningependa kukwambia kitu kimoja mimi sijatumia advantage ya demu kuumizwa ili nimle hapana ila mimi huyu mwanamke alinivutia hata pindi yupo na jamaa sema ni kwamba jamaa amepoteza mwanamke shupavu kama huyu ndio maana nimeona bora nimchukue tu maana ni wife material mpole pia mnyeneyekevu ni mzuri lakini ni mnyenyekevu mno ana roho ya kipekee mkuu kumuacha mwanamke wa aina hii ni ngumu pia ana akili za maisha.

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Acha udomo zege

Muda wote ulikuwa unamtamani demu wa rafiki yako

Mimi nasmema hivi ,kama unataka muendelee kuwa marafiki na jamaa yako achana na huyo demu mara moja.

Unaonesha hadharani kuwa ulikuwa unamtaka Toka kipindi wako na rafiki yako

Acha kuwa timbulo ,tafuta demu wako ,unatengeneza bifu na rafiki yako aiseee
 
Sawa mkuu ahsante kwa maoni yako

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,

Kwanza nikupe pole Sana Kama utaamua kufanya maamuz ya kumuweka ndani uyo mwanamke.

Nnachojua, Mwanamke yeyote akishaamua kubeba mimba na kua tayar kuzaa na mhusika anakua kampenda sana uyo mwanaume.

Ata ukimuoa, jua kwamba utakua umeoa MKE wa mtu. uyo mwanamke ANAMPENDA Sana uyo jamaa ata Kama kamkimbia. (Atakukubalia kwasababu Mitihani TU ya maisha inamsonga au revenge kwa jamaa yako)

Ila moyoni ANAMPENDA Sana uyo jamaa.

Na Usidanganyike kua atamsahau kirahisi, jamaaa akitaka kupita Naye atapiga TU ata ufanyeje.

Kesho jamaa atakapoanza kumtafuna mkeo kimasihara, usije kuja kuanzisha Uzi kua mwanamke wako anacheat na ex wake.

Wakati umejua kabisa alikua ex wake.

UTAKUA UPUMBAVU WAKO HUO.
 
Kosa gani tena mkuu?

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
1. Kumtamani na kutembea na mpenz wa rafki yako na bila aibu ukaenda kumwambia rafiki yako,
Hili Ni kosa kubwa Sana umefanya na halisameheki kamwe.

Rafki yako kakujibu TU kisiasa kwasababu dem hajampenda,

ila tambua One day,
jamaa Atatafta nafas ata kurevenge kwa mwanamke wako unayempenda kwa dhati na nna uhakika itakuuma kwelikweli.

2. Kumuoa Dem alowahi kutembea na rafiki yako,
Aisee hili Ni kosa kubwa Sana unaenda kufanya na litakugharimu Sana coz maex always hawaachani kirahisi hivyo unavodhani.

Ukiona watu wanaenda mikoani uko mbali kutafta wanawake sio kwamba wanakua vichaa, Ni heshima TU ifate mkondo.

Siwez kuja kumtambulisha MKE wangu kwa mwanaume ambae nnajua anaujua uchi wake in&out, haileti heshima kabisa.

Ata na wewe ukinitambulisha kwa mkeo ambae nilishawahi kupita nae, ile heshima ya ushemeji haiwezi kuja.

Zaidi zaidi ntakua nawaza allivokuaga ananikatikia mauno kunako 6×6
 
Back
Top Bottom