kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 950
- Thread starter
- #21
Daaah mkuu umeongea maneno mazito sema nimekuelewa mkuu nimekuelewa mkuu[emoji122][emoji122]1. Kumtamani na kutembea na mpenz wa rafki yako na bila aibu ukaenda kumwambia rafiki yako,
Hili Ni kosa kubwa Sana umefanya na halisameheki kamwe.
Rafki yako kakujibu TU kisiasa kwasababu dem hajampenda,
ila tambua One day,
jamaa Atatafta nafas ata kurevenge kwa mwanamke wako unayempenda kwa dhati na nna uhakika itakuuma kwelikweli.
2. Kumuoa Dem alowahi kutembea na rafiki yako,
Aisee hili Ni kosa kubwa Sana unaenda kufanya na litakugharimu Sana coz maex always hawaachani kirahisi hivyo unavodhani.
Ukiona watu wanaenda mikoani uko mbali kutafta wanawake sio kwamba wanakua vichaa, Ni heshima TU ifate mkondo.
Siwez kuja kumtambulisha MKE wangu kwa mwanaume ambae nnajua anaujua uchi wake in&out, haileti heshima kabisa.
Ata na wewe ukinitambulisha kwa mkeo ambae nilishawahi kupita nae, ile heshima ya ushemeji haiwezi kuja.
Zaidi zaidi ntakua nawaza allivokuaga ananikatikia mauno kunako 6×6
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app