MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,522
- 13,803
Dogo leo Imenibid nikomment kwenye Uzi wako maana nlishagundua chai zako zilizokolea Tangawizi muda sana ndo maana wakati mwingine huwa hata sishangaiki kufungua Nyuzi zako..
Nasema hivi acha kujitakia umaarufu kwa mada zako za chai za mapenzi kila kukicha apa mmu...
Huo muda utumie kutafuta hela achana na mambo ya kivulana bwana mdogo.
Ukikua utaacha....
Asante..
Nasema hivi acha kujitakia umaarufu kwa mada zako za chai za mapenzi kila kukicha apa mmu...
Huo muda utumie kutafuta hela achana na mambo ya kivulana bwana mdogo.
Ukikua utaacha....
Asante..