Jamaa kamaliza chuo kikuu lakin story zake ni mademu mademu tu

Huo ni ugonjwa wa Wanazuoni wengi, ugonjwa mwingine ni kuwaza kuajiriwa, mwingine ni kujilemza kwa kutaka vikazi vyepesi vyepesi kama kucheza na computer, vikaratasi na kalamu.
Kazi za kutumia japo nguvu kudogo hawataki ndio maana huishia kuajiriwa na ambao hawakusoma.
 
Leo umesoma story yangu mkuu maana wewe huwaga unacoment bila kusoma
Haa haa haa haa yan kama
Umejua vle mm magazet kama
Haya Huwa sisom

Nasoma tu kichwa cha habr bhas
Mengine najijazia mwenywe

Kulingana na headline
 
Kumbe university graduate haruhusiwi kuongelea mambo ya mahusiano au unywaji.

Basi sawa.
 
Haa haa haa haa yan kama
Umejua vle mm magazet kama
Haya Huwa sisom

Nasoma tu kichwa cha habr bhas
Mengine najijazia mwenywe

Kulingana na headline
Uwe tu unasoma kiongoz mda mwingine huwa nashusha nondo za uhakika
 
Back
Top Bottom