Jamaa kacheza vikoba hewa mwaka mzima kupitia mke wake

Jamaa kacheza vikoba hewa mwaka mzima kupitia mke wake

Ingekua mm simple tu hamna kuingia nae ligi, kumpiga wala kumfokea ila sitakaa nimshirikishe tena mambo yanayohusu hela, assets au mambo yote ya msingi nayoyafanya
Tatizo hapo kuna mawazo yakishetani yatakuingia kichwani, kuwa kuna kamsela kake kamchepuko ndio kalimpa huo mchongo wakupune hizo hela kitaalamu..

Lazima utoe kichapo bila kutegemea.
 
Tatizo hapo kuna mawazo yakishetani yatakuingia kichwani, kuwa kuna kamsela kake kamchepuko ndio kalimpa huo mchongo wakupune hizo hela kitaalamu..

Lazima utoe kichapo bila kutegemea.
Hilo nalo lipo mkuu
 
Hii ndio nafanya mimi aiseez mme wangu anajua anacheza mchezo wa laki3 kila mwezi na anajua tunapokea mwaezi wa sita kila mwaka. Kumbe naweka sijamsanua.. ni mwaka wanne huu ikifika mwezi wa sita tarehe 30 naachia mabunda baaasi maisha yanaenda
Hongera mkuu
 
Hahaha.... Sisi mabachela ndoani tunapaona kama chaneli za vichekesho.
 
Tatizo hapo kuna mawazo yakishetani yatakuingia kichwani, kuwa kuna kamsela kake kamchepuko ndio kalimpa huo mchongo wakupune hizo hela kitaalamu..

Lazima utoe kichapo bila kutegemea.
Kabisa aisee
 
Hahaha.... Sisi mabachela ndoani tunapaona kama chaneli za vichekesho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38] kwani unaoa lini nije nikupe maua
 
Natumia mu wazimaa wakuu.

Ukistaajabu ya Mussa geuka nyuma uyaone ya firauni.

Ipo hivi, kuna jamaa ana mke na watoto wa5. Sasa mwaka jana kipindi January unaanza mke wake alimshawishi sana wajiunge vikoba maana itakua ni akiba nzuri sana kwao siku wakivunja.

Baada ya jamaa kufkiria akaona poa haina shida, wakaelewana kwamba wataweka buku kumi kumi kila j5 na jmosi.

E bhana e. si majuzi ikawa mwisho wa vikoba jamaa akiwa na furaha anasibiri mke aende alete hela wajue cha kufanya kizaazaa kikaanza.

Anaenda kuchua hela wapi wakati hajawahi kucheza?

Baada ya jamaa kumbana sana akasema bora wamalizane iwe amekula hela ya mahari, hivyo waanze upya.

Wee jamaa katoa pigo la mbwa mla kuku na mayai ni hatari.
Baada ya jamaa kumbana sana akasema bora wamalizane iwe amekula hela ya mahari, hivyo waanze upya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe alikuwa na deni..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka nyuma kidogo nilienda kujiendeleza kimasomo nilivyorudi nilipitia kipindi kigumu sana kwan nilikua na madeni Benki nilichukua Hela ya kusomea pia loan board wakaongeza makato maradufu bila kujali ⅓ , afu ndio nimeoa na mtoto mdogo. Wife akaja kunambia ana mchezo wa laki Kila mwezi, akapita kipindi flan akasema kapewa ni zamu tukanunua sofa, Siku nyingine akapewa tukanunua tv " 32. Baadaye sana maisha yalivyokaa Sawa, wife ndo akanambia hakuwa na mchezo na mtu yeyote alikua anazitunza zikifika za kununua kitu flan ndio anajifanya imekua zamu yake kupewa na alifanya hivyo Kwan alijua nisingekubali kutunza Hela Katika hali ile
Impressive. Safi sana.
 
Tatizo hapo kuna mawazo yakishetani yatakuingia kichwani, kuwa kuna kamsela kake kamchepuko ndio kalimpa huo mchongo wakupune hizo hela kitaalamu..

Lazima utoe kichapo bila kutegemea.
Ndo hapo wajomba tunapoanza kufeli, nshajua kbs nimetapeliwa na mke wangu nliemuamini, mambo ya alikua anatumia na nani Sio mchongo tena...ukiruhusu tu hayo mawazo utamvunja bandama mtoto wa watu. Kikubwa hapo ni kumfanya awe kama beki tatu tu hamna kumshirikisha vya msingi, kuangalia namna utaendesha mambo yako bila kumtegemea yy finally unampa uhuru azike au asafirishe
 
Ujue hilo sio tatizo, tatizo ile kujichanga kwa jasho na damu
Mkuu vishapotea vingi na vilipatikana vingine...kupoteza ni kawaida haijalishi ulipata kwa jasho na damu au kwa kukaa kwenye viyoyozi
 
Mkuu vishapotea vingi na vilipatikana vingine...kupoteza ni kawaida haijalishi ulipata kwa jasho na damu au kwa kukaa kwenye viyoyozi
Jamaa hakua na muda huo zaidi ya kumtoa pondo
 
Ndo hapo wajomba tunapoanza kufeli, nshajua kbs nimetapeliwa na mke wangu nliemuamini, mambo ya alikua anatumia na nani Sio mchongo tena...ukiruhusu tu hayo mawazo utamvunja bandama mtoto wa watu. Kikubwa hapo ni kumfanya awe kama beki tatu tu hamna kumshirikisha vya msingi, kuangalia namna utaendesha mambo yako bila kumtegemea yy finally unampa uhuru azike au asafirishe
Mkuu uliwahi kua kweny peak ya hasira
 
Back
Top Bottom