Jamaa kacheza vikoba hewa mwaka mzima kupitia mke wake

Ulireact vp
Kwanza nlitoka hata kuongea sauti haitoki...nkapanda gari mda napanda sijui lilikua linaenda wapi nimekaa humo nalipa tu nauli, baadae nkashuka kila nachoshika mikono inatetemeka kila nachokula hakikua na ladha nayaijua
 
Ndoiv mkuu sasa jamaa alishndwa kuvumilia, ila pole sana
 
U nailed it. Inakwaza… kuna ka mtu somewhere nashindwa hata kukasamehe. Pesa nishaweka 50/50, alipe sawa, asilipe sawa.

Ila huyo muhusika,, hata nimkute Hosp kaishiwa pesa simpi hata buku.
Mimi Kuna sista huwa nacheki nae sana ofisini.

Juzi kati mwaka Jana mwishoni alikuja omba kiasi Fulani Cha Hela asovu ishu yake atanirudishia fasta.

Nikasema ok nikampa kanipiga sound Kila siku na saivi ndio kabisa kajisaulisha.

Nimeapa hatokuja Iona Hela yangu tena. Hata akabwe vipi!

Kuja ulizia staff wengine nikaambiwa ndio zake hio kazhakopa ofisi nzima na harudishi Hela.
 
Bidada kaamua kula mahari! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi Kuna sista huwa nacheki nae sana ofisini.

Juzi kati mwaka Jana mwishoni alikuja omba kiasi Fulani Cha Hela asovu ishu yake atanirudishia fasta.

Nikasema ok nikampa kanipiga sound Kila siku na saivi ndio kabisa kajisaulisha.

Nimeapa hatokuja Iona Hela yangu tena. Hata akabwe vipi!

Kuja ulizia staff wengine nikaambiwa ndio zake hio kazhakopa ofisi nzima na harudishi Hela.
Kwan we ulikua humjui mkuu
 
Back
Top Bottom