Jamaa kacheza vikoba hewa mwaka mzima kupitia mke wake

Mkuu tatizo kuweka hela ndani ni kazi mkiwa na kipato kidogo
Ni maisha nimepitia,hakuna pakuweka hela ikawa salama zaidi ya nyumbani kwako tena ukimshirikisha mke kama ana akili tulivu na hapendi makuu mtaani hapo mmetoboa.

Tuna lengo ndani ya miezi hii mitatu tununue tofali 1,000 kipato changu kinachofika home 17K mkabidhi mkeo bwana hapa ndani nyama kwa week mara moja tu hiyo 7K itumike hii 10K weka pale tunapowekaga au nenda kaweke mwenyewe ukiona tofauti uliza,mkisikilizana hivi bila kujali umaskini wenu kusogea ni mapema sana.
 
Back
Top Bottom