Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,427
- 191,696
Imekaa vyema sana tuanze linin sasa? Ukintapeli andaa marinda 😂Buku kumi kumi kila Jumatano na Jumamosi.. ipoje?
Imekaa vyema sana tuanze linin sasa? Ukintapeli andaa marinda 😂Buku kumi kumi kila Jumatano na Jumamosi.. ipoje?
Dunia haiishiwi masomo, hasa huku mitaani kuna mengi ya kujifunza kila siku.U nailed it. Inakwaza… kuna ka mtu somewhere nashindwa hata kukasamehe. Pesa nishaweka 50/50, alipe sawa, asilipe sawa.
Ila huyo muhusika,, hata nimkute Hosp kaishiwa pesa simpi hata buku.
Miaka nyuma kidogo nilienda kujiendeleza kimasomo nilivyorudi nilipitia kipindi kigumu sana kwan nilikua na madeni Benki nilichukua Hela ya kusomea pia loan board wakaongeza makato maradufu bila kujali â…“ , afu ndio nimeoa na mtoto mdogo. Wife akaja kunambia ana mchezo wa laki Kila mwezi, akapita kipindi flan akasema kapewa ni zamu tukanunua sofa, Siku nyingine akapewa tukanunua tv " 32. Baadaye sana maisha yalivyokaa Sawa, wife ndo akanambia hakuwa na mchezo na mtu yeyote alikua anazitunza zikifika za kununua kitu flan ndio anajifanya imekua zamu yake kupewa na alifanya hivyo Kwan alijua nisingekubali kutunza Hela Katika hali ileNatumia mu wazimaa wakuu.
Ukistaajabu ya Mussa geuka nyuma uyaone ya firauni.
Ipo hivi, kuna jamaa ana mke na watoto wa5. Sasa mwaka jana kipindi January unaanza mke wake alimshawishi sana wajiunge vikoba maana itakua ni akiba nzuri sana kwao siku wakivunja.
Baada ya jamaa kufkiria akaona poa haina shida, wakaelewana kwamba wataweka buku kumi kumi kila j5 na jmosi.
E bhana e. si majuzi ikawa mwisho wa vikoba jamaa akiwa na furaha anasibiri mke aende alete hela wajue cha kufanya kizaazaa kikaanza.
Anaenda kuchua hela wapi wakati hajawahi kucheza?
Baada ya jamaa kumbana sana akasema bora wamalizane iwe amekula hela ya mahari, hivyo waanze upya.
Wee jamaa katoa pigo la mbwa mla kuku na mayai ni hatari.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu lilikukuta jambo? M kuna jamaa nilimuazima hela alipie mtihani chuo 2015 ilikua 150k walah Hadi leo cjui hata alipo.U nailed it. Inakwaza… kuna ka mtu somewhere nashindwa hata kukasamehe. Pesa nishaweka 50/50, alipe sawa, asilipe sawa.
Ila huyo muhusika,, hata nimkute Hosp kaishiwa pesa simpi hata buku.
Ulimuona....? Au ndio umama umekujaa
mtoto yupi tena, wa tagged auShwar kwema? Nina bad news maana nimeambiwa mtt anauzwa.
Mpaka umpate mwenye akili sasaNi maisha nimepitia,hakuna pakuweka hela ikawa salama zaidi ya nyumbani kwako tena ukimshirikisha mke kama ana akili tulivu na hapendi makuu mtaani hapo mmetoboa.
Tuna lengo ndani ya miezi hii mitatu tununue tofali 1,000 kipato changu kinachofika home 17K mkabidhi mkeo bwana hapa ndani nyama kwa week mara moja tu hiyo 7K itumike hii 10K weka pale tunapowekaga au nenda kaweke mwenyewe ukiona tofauti uliza,mkisikilizana hivi bila kujali umaskini wenu kusogea ni mapema sana.
pole sanaWangu aisee nimeishia kucheka tu
Tatizo sio kamilioni tatizo ni jinsi kalivyopotea, yani unahisi huyo mke amekuchukulia kama boya boya flani hivi.Kumbe kuhangaika kote huko kamilioni na kipigo daa
Kweli watu wanapishana aisee
Uzima ninao mkuu wanguAisee Mungu ni mwema mkuu, unaendeleaje lakini?
Mkuu mara nyingine huwa hawasikilizwi hawa viumbeIngezid mkuu maana c kuna faida za wakopaji
namba za KE au ?Nikupe namba zake ukamnunue mkuu?
historia ipi tena ?Ee[emoji23][emoji23][emoji23] ili uweke historia mkuu