Jamaa apanda juu ya mnara na kugoma kushuka

Clouds fm wametangaza:amesema hashuki mpaka rais kikwete aende akamsikilize shida yake.

Inadaiwa amedhulumiwa
Sasa Kikwete ndie alie mdhulumu? Kwanini asiite walio mdhulumu? Huyo anataka aone mwaka mpya ukiwa unakuja, anataka aone utatokea wapi?
 
Clouds fm wametangaza:amesema hashuki mpaka rais kikwete aende akamsikilize shida yake.

Inadaiwa amedhulumiwa

Ohoo kama amepanda na karedio kenye simu anawaenjoi tu jinsi mnavyomtangaza huko kwenye maredio.

Ukute hata anabrowse JF Anapima ushauri mnaotoa. Ngoja sasa hivi atawajibu huku JF ndo mtakoma naye.
 
wakati anapanda watu walijua ni fundi? au huyo jamaa anatafuta kuweka rekodi ya kufungia mwaka?
 
Huyo hana mpango wa kufa anazuga tu...

Kama angekuwa anakitamani kifo angekunywa sumu ya panya kitambo au kujirusha pasipo kuhitaji watu wamjalie.
 
Sasa Kikwete ndie alie mdhulumu? Kwanini asiite walio mdhulumu? Huyo anataka aone mwaka mpya ukiwa unakuja, anataka aone utatokea wapi?

Hata mie nashangaa kwann iwe rais wa nchi na wakati waliodhulum ni watu wengine!

Yani rais aache majukum ya
nchi kwa ajili yake yeye. Si mzima huyu mty
 
Labda amekosea kutuma msg,ya kimada kamtumia wife.ameenda kuizuia isifike kwa wife.
 
Hayupo wa kusikiliza shida zake,, sipendi dizain ya watu wanaotaka jamii iwahurumie!!!
Ningekuwa namjua akishuka tu namkabidhi sumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom