Jamaa apanda juu ya mnara na kugoma kushuka

Jamaa apanda juu ya mnara na kugoma kushuka

uyu atakuwa mwanajiografia, anajua THE HIGH YOU GO, THE LESSER THE TEMPERATURE, ndo maana moshi mjini ni joto wakati mt kilimanjaro apex ni barafu...Labda apo ubungo chini maisha bora kwa kila mtanzania ni magumu wakati juu ya mnara kuna unafuu...btw yeye anasema anataka kumuona rais kwa kuwa alifungwa kwa kusingiziwa kesi....
 
Back
Top Bottom