Jamaa apanda juu ya mnara na kugoma kushuka

Jamaa apanda juu ya mnara na kugoma kushuka

Option 1. Chukueni Shehe amsomehe HITMA hapo chini alafu akimaliza mwambieni aruke.

Option 2. Waitwe mafundi waanze kuufungua huo mnara aanguke nao.

Option 3. Mtungueni na manati muone kama atakwepa mawe! akikwepa mjue anatishia nyau achaneni nae endeleen kuchapa kazi za maendeleo baadaye atashuka na kukuta maisha magumu zaid

kuna jamaa mmoja alikuwa mtaalamu wa kuiba nazi kule tanga, jamaa mmoja akamkuta shambani mwake juu ya mnazi kabisa na huyu mwizi alikuwa amesha wachosha watu. siku walipomkuta juu ya mnazi wakamwambia ashuke akagoma, wakaanza kukata mnazi mpaka unaanguka akafa nao.

mi nakumbuka utotoni tulikua tunaiba machungwa ya watu umri mdogo sana hata shule ndo chekechea siku moja tuka fulumushwa kila mtu akachukua njia yake ila mimi ule mkosi wa kundi limfuate nani ukaniangukia mimi, basi jamaa walinikimbiza nikawa peleka kwenye bwawa moja mi nilikuwa mtaalamu wa kuogelea sana nilifundishwa na dada basi nikawa peleka kwenye bwawa kubwa tu nikaingia kwenye kina kirefu katikati kuna nguzo za ku-support bomba la mashine ya kuvuta maji kupeleka intake. boma lilishong'olewa ila zile za nguzo zipo katikati kabisa nikapiga mbizi mpaka pale hakuna hata mmoja aliyenifuata mpaka bibi akaja ndo nikatoka kule
 
Huyu jamaa ana uchungu kwani amefungwa jela miaka 16 n'a baada ya kupekua jalada lake ikaonekana hana kosa hivyo akaachiwa huru sasa anataka kutoa dukuduku lake kuwa si yy peke yake. wanaosingiziwa na kupoteza muda wao mwingi wakiwa gerezani
 
Kwa Bongo utasikia kakamatwa na kufungwa miaka 30 jela kuhatarisha maisha ya watu ila wauza unga wanao angamiza watu kila kukicha wanaangaliwa na kuheshimiwa pamoja na kukaribishwa Ikulu kufuturu.

Jamaa mbishi sio wewe ndo uko juu ya MNALA. Maana imeandikwa Jamaa hapo kwenye heading
 
Let him rest in peace.

Tena hapo ameweka kibao cha D & D.!
 
hahaaa!!! wakati tunatangaziwa maisha bora kwa kila mtanzania alikuwa ameziba mackio????


Kha ha ha ha ha ha haaaaaaa! Nimeipenda sana hapa!

Ndiyo maana naipenda Jf bhana!
Hata kama una mawazo unamaliza huku!
 
Kikwete ameua ndoto za vijana wengi sana! Jamaa alikuwa anasema hashuki mpaka aonane na kikwete maana polisi wake wamemsingizia kesi ya kuua watu wa3 na wakamfunga miaka 6 kwhyo amepoteza dira kwahyo anaomba aonane na kikwete!
 
Wangeleta gari la maji ya kuwasha wakamwagia
 
Jamaa mbishi sio wewe ndo uko juu ya MNALA. Maana imeandikwa Jamaa hapo kwenye heading


Ndiyo maana jamii yetu inakemea ubwiaji unga, si bure na moja ya sababu zake ni kama hizi kujichanganya bila kujijuwa. Sasa jiulize jamaa aliyepanda mnara na Jamaa_Mbishi wana uwiano gani? I hope utakuwa sober ili unijibu vizuri kwa kutumia akili zako si nguvu ya unga.
 
Ndiyo maana jamii yetu inakemea ubwiaji unga, si bure na moja ya sababu zake ni kama hizi kujichanganya bila kujijuwa. Sasa jiulize jamaa aliyepanda mnara na Jamaa_Mbishi wana uwiano gani? I hope utakuwa sober ili unijibu vizuri kwa kutumia akili zako si nguvu ya unga.

Madhali wewe ni MBISHI nakuvumilia kwa sasa. Hala hala isije kuwa ni wewe iko juu ya MNALA.
 
!
!
nimemiss sana kwa kweli dah!....sasa huyo fundi minara wangemtandika viboko



Nadhani amekugwaya baada ya kumdhania ana mimba kwa ajili ya chuki chuki zake kwako.
Then,yule fundi minara wamemshusha,wakamvua na nguo,nimesikia hivyo.
 
Back
Top Bottom