Jamaa apanda juu ya mnara na kugoma kushuka

Jamaa apanda juu ya mnara na kugoma kushuka

Mbona katumia zile ngazi zilizowekwa kwa ajili ya mafundi?
Ila anatafuta attention huyo,maisha magumu ndio kaja kuyaona mwishoni mwa mwaka?
Kuanzia January mpaka kufika jana alikuwa na kifurushi cha maisha kusema leo kimeisha?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Amepanda na chakula huko juu? mwacheni muone kama njaa haitamshusha chini.

Akiwazingua zaidi upigeni shoti ya umeme huo mnara muone litakaloendelea!
 
Anatafuta wireless network. Mwacheni, Mkonga wa taifa haujatusaidia hadi leo
 
Duuh! Hizi comment ni kiboko. Lakini pamoja na hayo, hili jambo tukiliangalia kwa mtizamo mwingine,huyu jamaa anawakilisha kundi la watu ambao wamenyanyasika vya kutosha na wanaendelea,kwa ajili ya ugumu wa maisha katika jamii yeti ya Kibepari. Hii ndo reflection ya Serikali ya akina Nape na Nchemba. Cha kushangaza 2015,jamaa huyuhuyu utakuta kavaa tshert ya kijani na njano,akimpa raha Nape na Nchemba. I HATE CCM.
 
Back
Top Bottom