Jamaa anataka kutupeleka wapi jamani

Rubawa

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
2,055
3,246
cf2a78fbed868ac76c0ea4c3ce5ddc47.jpg
 
Kosa lake ni nini?? Au sijaelewa? Hatupeleki popote bali amekumbuka ahadi yake kwa Anne kuwa ntakupangia kazi nyingine mbona hukuuliza wakati ule kuwa kazi ziko wapi?? Acha mama huyu akumbukwe jamani. Wadhani kutumbuliwa mchezo. Wengine hatunao walishatangulia mbele ya haki, kisa katumbuliwa
 
Hivi si alisema huyu mama ni muongo na akamtumbua....leo hii kawa mkweli au ndio kisa JF waliandika kuwa jamaa kaitelekeza familia ya malecela
 
Back
Top Bottom