Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Ha ha ha! Nadhani jamaa kashazivuta vile vile. Maisha ya geto vituko haviishi!shibe ina shida sana!
itakuwa ya malawi!nasikia inawazingua balaaaHa ha ha! Nadhani jamaa kashazivuta vile vile. Maisha ya geto vituko haviishi!
shibe ina shida sana!
shibe ina shida sana!
mkuu shibe si lazima iwe ya msosi!yaweza kuwa ya gongo, bangi n,k!Shibe wapii...!!! Gongo hiyo..
naaaam!ila nasikia cha malawi nacho balaa tupu!Hii ni shibe ya kile kitu cha Arusha
Tofauti yake na hapo kwenye avatar yako ni nini?shibe ina shida sana!
ha ha ha ha!!mkuu unamfahamu mbuni wewe!!ulisha wahi ingia naye mgogoro!!hapo ni run for your life!Tofauti yake na hapo kwenye avatar yako ni nini?