Jamaa Analinda MALI ZAKE, MAPENZI Banaaaa

Wanasema fainali uzeeni. Sasa ukifika hapo halafu wakakuibia mwenza, kuna uwezekano wa kupata mwingine tena? Ndo maana inabidi kulinda kwa mapanga, marungu na mashoka.
 
Badilisheni heading siyo ulinzi huo
 
Jamaa anaonekana kama anacheza kidali po na mkewe we unasema analinda!!??
 
Wasiwasi wake tu,nani amwibie huyo kikongwe?
 
una namba za huyu demu? kaka angu sharp xana
 
Huyo "Dihno" ana meno kama opener ya kijiji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…