Jamaa ana bahati mbaya.

Jamaa ana bahati mbaya.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,968
IMG-20180723-WA0011.jpg
 
Hahaaa kusema afurahie shetani kamshindwa kumjaribu yeye anaona kanyongewa6
 
Kuna stori shit unaweza kua ushaisikia.

Kuna jamaa kamfuatilia demu kwa miaka kibao sasa siku hiyo jamaa yupo kwenye daladala demu kamtext "Uko wapi nije?"
Jamaa akaandika "Nipo nyumbani njoo"

Kabla hajaituma mwizi akaipora simu akaanza kukimbia. Jamaa akatoa kichwa dirishani akaanza kumpigia mwizi kelele.

"WEWE MWIZI BONYEZA SEND, BONYEZA SEND PUMBAVU ZAKO"
 
dah ndo ilikuwa chance yake mkuu
 
mkuu umefanya nimevuruga ukimia wa mahala nilipo kwa kicheko
 
Ve
Kuna stori shit unaweza kua ushaisikia.

Kuna jamaa kamfuatilia demu kwa miaka kibao sasa siku hiyo jamaa yupo kwenye daladala demu kamtext "Uko wapi nije?"
Jamaa akaandika "Nipo nyumbani njoo"

Kabla hajaituma mwizi akaipora simu akaanza kukimbia. Jamaa akatoa kichwa dirishani akaanza kumpigia mwizi kelele.

"WEWE MWIZI BONYEZA SEND, BONYEZA SEND PUMBAVU ZAKO"
Very fun!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom