Jamaa....... Amuongezea mwenzie maradhi

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Inasikitisha lkn ndivyo ilivyokuwa, jirani yangu mkewe ni mgonjwa muda mrefu ,amelala kitandani muda mreeefu. ndg na mawifi ndio wanamshughulikia pale alipo. kumbe jamaa siku kwa siku anapiga mzigo. ugonjwa ukazidi mara kutapika nk. ikabidi wakampime hospitali (alikuwa akitibiwa kienyeji baaada ya ushauli wa madaktari) akakutwa na mimba. AIBU hivia ndo kusema jamaa alishindwa kuwa na huruma na mwenzie au ndo tamaa zilimzidi..!!!!
 
Haya mambo ni magumu wajameni. Kila ndoa ina mitihani yake na namna ya kuishinda... Sisemi kuwa alichofanya ni sawa, ila najaribu kuvuta taswira na kuangalia hali halisi ilivo na hio hamu ambayo inamsukuma huyo mume kulala na mkewe na hali mgonjwa.

Sijui, ila siamini kuwa anafanya kumkomesha. Ila nijuavo mimi (naweza kuwa wrong) mara nyingi mume kama ana mke ambae ni mgonjwa sana kitandani anaweza akawa bako anampenda sana tu lakini hamu ya kufanya nae mapenzi mara kwa mara katika ile hali yake ya ugonjwa ni nadra sana. Hasa hasa atatoka nje.

Sasa hapo ndio swali linabaki... Angetoka nje na ikajulikana kabisa anatoka nje ingekuwa lawama kuwa anamsaliti mkewe na hali yupo kitandani. Haya mambo ni magumu Mungu tu atunusuru.
 
Inasikitisha lkn ndivyo ilivyokuwa, jirani yangu mkewe ni mgonjwa muda mrefu ,amelala kitandani muda mreeefu. ndg na mawifi ndio wanamshughulikia pale alipo. kumbe jamaa siku kwa siku anapiga mzigo. ugonjwa ukazidi mara kutapika nk. ikabidi wakampime hospitali (alikuwa akitibiwa kienyeji baaada ya ushauli wa madaktari) akakutwa na mimba. AIBU hivia ndo kusema jamaa alishindwa kuwa na huruma na mwenzie au ndo tamaa zilimzidi..!!!!
yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
mi nashangaa watu mnavyomlaumu huyo mume, mnajuaje labda mgonjwa mwenyewe ndo alitaka mchezo? naamini watu wengi, wakiwa katika hali ya ugonjwa kias cha kutoweza kuwaridhisha wepenz wao huwa wanakuwa na wivu sana wakihisi pengine wapenz wao wanapata starehe pengine, na pengine huyo mgonjwa alikuwa hivyo akaomba kamchezo!
 
Kama mwenyewe alikuwa anataka? ndio inampunguzia maumivu. Au kama ndio mganga wao aliokuwa anamtibu kienyeji kawaambia hiyo ndio dawa? usiingilie mambo ya watu.

Huo unaitwa udaku, Unguja watu kama wewe mnasutwa na karabai 7, tena mchana na unaletewa beni na bembe useme vizuri.
 
mi nashangaa watu mnavyomlaumu huyo mume, mnajuaje labda mgonjwa mwenyewe ndo alitaka mchezo? naamini watu wengi, wakiwa katika hali ya ugonjwa kias cha kutoweza kuwaridhisha wepenz wao huwa wanakuwa na wivu sana wakihisi pengine wapenz wao wanapata starehe pengine, na pengine huyo mgonjwa alikuwa hivyo akaomba kamchezo!
Hapa mie nakiri niliwahi kufanya haka kamchezo wakati mwenzangu akiwa mgonjwa.

Sie tulikuwa na kawaida ya kubanjuka kila wkend, sasa huyu gf wangu akawa anaumwa.
wk ya kwanza ikapita ( kila mtu anakaa kwake) ila nikamtembelea.

Wiki ya pili akaniita akaniambia "najua una ham sana ila nataka leo tufanye taratibu taratibu ile staili ya kizembe" mie mwanzoni nilimkatalia kuwa mie nitamsubiri mpaka apone.
akagoma matokeo yake akaanza kutoa lawama nimewezaje kuvumilia wk 2 wakati kila mara huwa nalalama kuwa siwezi kuvumilia? au ninamwanamke mwingine anaenipooza. Hii ni kutokana na historia ya mahusiano yetu.(kula kila wkend)

Nikawa sijajinsi nisimfanye apoteze iman na mimi, kikamega tunda kwa staili aliyopendekeza siku ikapita na maisha yakaendelea. Ila hakupata ujauzito.
 
excellent, bravo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom