Jamaa amemkumbatia mke wa Mjeda na kumbusu, kuja kutahamaki kumbe Mwenye Mke alikuwa pembeni ya fensi na panga lake akifyeka miti!

Hizo knuckles wala hazina msaada ukiwekwa kilingeni,

Utakula doso mpaka utalainika mkuu. Kamasi na machozi vitashikana.

Labda umpige na asijue unaishi wapi.
Nimekumbana nao Sana hao.Sasa ndio maana nakwambia hawana maajabu.Yaani uzinguane na raia mmoja,amekupiga halafu uende kikosini ukachukue soldiers wengine Kwa ajili ya raia mmoja!?Huoni ni udhaifu huo?!
 
TUJIFUNZE KUCHUNGA MIPAKA BAINA YETU..... MAHUSIANO YETU YAISHIE KWENYE MAMBO YA MSINGI......

TUACHANE NA MAZOEA YASIYO NA MSINGI HASA KWA WAKE AU WAUME ZA WATU.....
 
Nimekumbana nao Sana hao.Sasa ndio maana nakwambia hawana maajabu.Yaani uzinguane na raia mmoja,amekupiga halafu uende kikosini ukachukue soldiers wengine Kwa ajili ya raia mmoja!?Huoni ni udhaifu huo?!
Kumbe huwa wanapigwaa sana tyuuh?
Yaan nafurahi mjeda akibatuliwa mie roho yangu kwatuuu.
Nyie mnaobahatika kuwaweza hao wajeda, watembezeni kichapo cha mbwa koko hadi wajute kulijua doso, pumbavu zao, nawachukia sana wanajeshi. Msieeeeew
 
Kumbe huwa wanapigwaa sana tyuuh?
Yaan nafurahi mjeda akibatuliwa mie roho yangu kwatuuu.
Nyie mnaobahatika kuwaweza hao wajeda, watembezeni kichapo cha mbwa koko hadi wajute kulijua doso, pumbavu zao, nawachukia sana wanajeshi. Msieeeeew
Hata hao makomandoo wanaovunja mawe kwenye sherehe za Uhuru huwa wanapigwa vizuri.Huwa tunaheshimu uniform tu!Kwasababu ya ule mwenge wa Jamhuri.
 
Acha kumuogopa binadamu mwenzio.Hata hao makomandoo huwa wanapigwa vizuri tu!Nao ni binadamu wana mwili wa nyama.Usitishike na zile demo pale Taifa.Fanyeni mazoezi msiwe wanyonge.
Tufanye mazoezi ili tukapigane na makomandoo siyo!
 
Afu una mkono m baya unajitesa sana pesa ndio kila kitu achana na hayo nakoz mambo mwaka 47
Sasa mkono mzuri mimi wanini!?Kwani mimi ni demu!? Wanawake wenyewe wazuri wanapenda niwe hivyo.Mwanaume lazima uwe ngangari.Kutafuta pesa ni vita lazima uwe ngangari! "Survival of the fittest".
 
Afu wabeba vyuma wengi wa hawana marinda hivi kwa nini mnakua naa vifua vikubwa lkn mnapakatwa
Daah mwanangu umekonda sana na nakoz zangu.Mimi sibebi chuma, mwili wangu wenyewe ni chuma.Acha kukariri wewe piga tizi wewe.🤣
 
Wakuu habari za Leo! This is true story.

Imetokea hivi karibuni hapa jijini Dar, Kuna jirani yangu amenisimulia nimshauri afanyaje maana, hivi karibuni akiwa anaingia kupata Moja moto moja baridi kwenye glossary ya jirani yetu mwingine ambaye ni Mjeda na amemfungulia glossary mke wake hapohapo maskani Kwa nje ya fensi.

Basi alipofika akamuomba yule mama amkumbatie ( watoto wa mjini wanaita kumuwao) basi mara pap wakapeana wao jamaa akiwa anaendelea kushikilia kiuono cha yule mama, ghafla akasikia mtu anakata miti kwa panga, kucheki ni mme wa yule mama na alikuwa akiwatazama wanavyopeana kumbatio.

Na mpaka leo inaisha wiki hajamuuliza lolote jamaa, hivyo mwana anaomba nimshauri afanyaje maana kiuhalisia hana uhusiano wowote na yule mama ila ilitokea tu siku hiyo, Sasa hofu ya jirani yangu ni jamaa amelichukuliaje?

Na kwanini alikaa kimya hakuwasemesha?

Na anawaza nini?
mshauri jamaa yako asikose kilainishi/ Mafuta kwenye mfuko wa shati,
kutatokea tukio la ngozi kusuguana sio muda mrefu,
 
Aisee, sijui kwanini mnawaogopa hao watu... Mimi kiukweli ata siwaogopi Ila Wana roho mbaya, wakiamua kukufanyia ushetani utajutraaaaaa
 
hahaha ilishanitokea hii asee huyo dada nimesoma nae chuo sasa majuzi nimemuona sehemu stendi hatujaonana kama miaka 6 si nikanyata nikamkumbatia kwa nyuma maana chuo ndo yalikua mambo yetu ila hajawahi kuwa demu wangu ni mshkaji tu.

Kumbe mumewe yupo ananunua kitu akaona sasa dada kugeuka ni mimi akacheka jamaa akaja pale dah nilitamani nikimbie alivyonambia mume wangu huyu na kweli niliona post ya harusi ndo yeye, nikasalimie pale nikasepa hata no sikuchukua.
Sasa sitaki tena mtu kama tulipotezana mda siku namuona namsalimia kwa adabu maana ningekula vichwa ile siku.
 
Back
Top Bottom