Jamaa amemkumbatia mke wa Mjeda na kumbusu, kuja kutahamaki kumbe Mwenye Mke alikuwa pembeni ya fensi na panga lake akifyeka miti!

Kumbe huwa wanapigwaa sana tyuuh?
Yaan nafurahi mjeda akibatuliwa mie roho yangu kwatuuu.
Nyie mnaobahatika kuwaweza hao wajeda, watembezeni kichapo cha mbwa koko hadi wajute kulijua doso, pumbavu zao, nawachukia sana wanajeshi. Msieeeeew
Taratiibu basi, mbona umejaa sana? Unachukia mwanajeshi umpende nani sasa?
 
Back
Top Bottom