Jamaa aliyeg'atwa na askari aachiwa kidonda

Jamaa aliyeg'atwa na askari aachiwa kidonda

😁😁😁Wanaume wa Mikoani wamekuja na mbinu ya kungata meno badala ya mapanga, ile video imenichekesha kiasi mambo ya kumega nyama ya mwenzio staili ya wanawake.
 
Vipimo vya HIV baada ya mwenzi mmoja hapo awahi kumeza dawa ya kuzuia maambukizi.

Yaani ashauriwe haraka akameze dawa hizo ndani ya masaa 72. Shenzi sana kitombi trafiki yule. Ameambukiza HIV makusudi.
 
Mtu anakuwaje na ujasiri wa kumng'ata binadamu mwenzake kama Simba, najaribu kujiuliza zile damu zilizotoka wakati wa tukio alizimeza au alitema.
 
Hayo Maaskari ni Mananga wanashindwa kutumia Nakoz yanatumia meno
110126-F-0000W-001.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom