Jamaa aliyeg'atwa na askari aachiwa kidonda

Jamaa aliyeg'atwa na askari aachiwa kidonda

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
24,994
Reaction score
45,065
Aman kwenu

Kama picha inavyojionesha hapo

Jamaa kaachiwa tetenas
Screenshot_20190114-124019.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ningemfuta kazi mara moja huyo traffic aliyeshambulia kwa meno, kwa uelewa wangu wa mambo ya kijeshi,hakupata mafunzo toshelevu,ni moja wapo ya matoto ambayo yanabebwa kuingia jeshi na yakifika huko hayafanyi hata mazoezi,yanasubiri kubebwa na vyeo vya baba zao wa kambo.
 
Back
Top Bottom