dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,815
- 61,705
uyu mng'ataji anasambaza ngoma kijanja mama+e
Pia anaweza wahi dose.Heri tetenasi anaweza wahi na dozi. Je HIV?
Kwa hiyo kama ameambukizwa ukimwi ni sawa kwake?Jeshi la "Porisi" niko nyuma yenu,u have my full support.
Muulize aliyesema wana full support yake.Kwa hiyo kama ameambukizwa ukimwi ni sawa kwake?
Aman kwenu
Kama picha inavyojionesha hapo
Jamaa kaachiwa tetenas
View attachment 993898
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ukienda kwa mganga huyu askari tumbo litajaa kama pira
Kule kwetu angewekewa tu kinyesi cha kuku meno yote yangeoza ah ahaa haaa!
Hii propaganda ya Tanzania nchi ya amani imeligalimu sana taifa hili.katika hali ya kawaida kabisa hata kwa kutumia akili za polepole (za kuhama na moja kichwani),inawezekanaje askari tena asiye na siraha akapigana na raia katikati ya kundi la watu na akachwa tu hadi anaanza kuuma meno?.Aman kwenu
Kama picha inavyojionesha hapo
Jamaa kaachiwa tetenas
View attachment 993898
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi la "Porisi" niko nyuma yenu,u have my full support.
Aman kwenu
Kama picha inavyojionesha hapo
Jamaa kaachiwa tetenas
View attachment 993898
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inaitwa reasonable force..Aman kwenu
Kama picha inavyojionesha hapo
Jamaa kaachiwa tetenas
View attachment 993898
Sent using Jamii Forums mobile app
WANGEPIGA HATA MAWE WAKIWA MAFICHONI HAO MAPOLISI UCHWARAHii ndio Tanzania tunayoitaka. Kwa hakika askari wa barabarani wanakera kupita kiasi sisi tunaomalizana nao kwa amani ni Mungu tu anatuepusha na maradhi kama kisukari na maradhi ya moyo. Unatakiwa utulie na kuitikia tu maneno yao ya kipuuzi na kuchefua. Huwezi kukutana na askari wa barabarani na kuondoka salama bila kuwa na kinyongo na hasira. Ila walioudhi zaidi ni hao raia, wangejitolea hata watatu tu kulinda heshima ya mtanzania mwenzao wangetosha sana. Haya madude kwa hakika tumeyachoka hasaaa
Wewe ndiyo utakuja kufa kizembe kabisa vita ni vita muraaKwa mwanaume kung'ata ni aibu kubwa..... ina maana silaha nyingine hakuziona......
Sent using Jamii Forums mobile app
Askari akiua mwalifu hakuna kushitakiwa---jiwe.Aman kwenu
Kama picha inavyojionesha hapo
Jamaa kaachiwa tetenas
View attachment 993898
Sent using Jamii Forums mobile app