Jamaa alipata suppl.ya hii kitu c.c.p?

Jamaa alipata suppl.ya hii kitu c.c.p?

Mugaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
413
Reaction score
201
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Attachments

  • IMG.jpg
    IMG.jpg
    36.7 KB · Views: 311
Kwani CCP wanafunzwa namna ya kudandia magari???
 
Watakuwa wanafanyia testing hizo kevlar protectives.

Unaposema suppl. unamaanisha nini? Kifupisho kimerasimishwa hicho?
 
wanafundishwa hadi mbinu za kubrush viatu na kuomba rushwa.
 
hizo ni mbinu mya za kupambana na maandamano.... yaani inakuwa kama kwenye sinema ya RAMBO vile
 
Hakuna cha mafunzo au mazoezi huyo alishindwa kudandia gari likiwa linatembea
 
kwani hao huwa wanatuliza fujo au wanawashambulia watu wasiowakabili.
 
Watakuwa wanafanyia testing hizo kevlar protectives.

Unaposema suppl. unamaanisha nini? Kifupisho kimerasimishwa hicho?

Nimemaanisha supplimentary mkuu!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Walimkimbiza rafki yangu tukiwa chuo akajikuta break ya kwanza shule ya Msingi Mlimani ndo wakarudi ila hawakumkamata wkt walikuwa watatu yeye mmoja hvyo sishangai sana kuona anashindwa kudandia gari... Kweli chips Mayai
 
hii ilikuwa pale wameshapewa kichapo na wananchi wakatoi wanakimbia ndio hiyo sasa ikatokea..
 
Back
Top Bottom