Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Jamaa alikua anaumwa jino ambalo ushauri ni kuling'oa.
Wakati wa nyuma jino moja liling'olewa kwa shilingi 1, na mke wa jamaa aliwahi kung'olewa jino kwa bei hiyo ya shilingi 1.
Baada ya jamaa kuelekezwa na mkewe akang'oe jino, alifika hospital lakini baada ya kutoa pesa shilingi 32 chenji haikurudi nayeye akasahau hivyo akarudi nyumbani, ile mkewe kumuona tu akafurahi sana akijua mume wake maumivu ya jino yameisha, na mazungumzo yakawa ivi:
Mke: karibu mume wangu, eeh nambie umewakubali wale jamaa kwa huduma zao?
Mume: yes kweli wako vizuri ila wamening'oa jino moja kwa sh.32 aisee.
Mke: wee rudi wakupe hiyo chenji sh.31 tununue mboga.
Mume akarudi hadi pale hospital, kwa jazba nipeni chenji yangu nyinyi.
Nesi: samahani mzee pesa ikishalipwa hairudishwi.
Mume: kwa hasira nyie vipi yaani ela yangu ifie huko bila kazi??, kama vipi mning'oe meno yaliyosalia kufidia ela yangu.
Nesi: sawa mzee, kaa hapa nikung'oe.
Mzee karudi home baada ya kung'olewa meno yote 32.
Kufika home tu...
Mke: vipi mme wangu umepata ela ya mboga?
Mume: aah wapuuzi wale waligoma kurudisha ela yangu, nikaamua waning'oe yote kufidia ela yangu.
Mke: we tahira sana wewe, tena usinijue tangu leo yaani meno huna hata ela ya mboga huna???