Hahahahaahahaaaa! huyo mgeni wake atakuwa ametokea '' KANDA YA ZIWA" maana wanakata tonge moja kubwaaaaaaaa! halafu wanaligawa mara tatu , "konda, dereva na utingo" la kwanza linamezwa bila kutafunwa, la pili linaenda na nyama na la tatu linamezwa bila kutafunwa. SASA hapo muweke ale na wadada wa hapa Dar wanaojifanya wanarembua wakati wa kula akijakugeuka sahani nyeupeeeeeeeeeeeee!!!!!! .
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaah! sikutegemea kama The Boss utanichonganisha na Kongosho, mm nimesema KANDA YA ZIWA zijataja kabila, Hahahahaahahaha! Loh!
Sijawahi cheka kama leo lol
Hahahah unalo leo....
Hahahahaahahaaaa! huyo mgeni wake atakuwa ametokea '' KANDA YA ZIWA" maana wanakata tonge moja kubwaaaaaaaa! halafu wanaligawa mara tatu , "konda, dereva na utingo"la kwanza linamezwa bila kutafunwa, la pili linaenda na nyama na la tatu linamezwa bila kutafunwa. SASA hapo muweke ale na wadada wa hapa Dar wanaojifanya wanarembua wakati wa kula akijakugeuka sahani nyeupeeeeeeeeeeeee!!!!!! .
mimekumisijeeee hujambo lakini the boss,sikukuu inakuwaje sasa ,wewe una wakwenda nae tanga????mimi nimeachwa na mwenzio hahaa