John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,341
nani ana namba ya mama Nkya?
Mimi mwenyewe najiuliza, hivi ina maana hata mawe hayakuwepo? Unawezaje kushuhudia ukatili wa aina hii halafu ukanyamaza kimya? Na huyo mama alikuwa anapiga kelele au ilikuwaje? Mmh, ni vizuri kufuatilia, unaweza kukuta ni mkeo ndiyo amebakwa, na kwa hali hiyo kama jamaa ni mgonjwa, basi ni kuandika tu maumivu.
Haiwezekani umati wakusanyike kushuhudia tu jambo la kinyama namna hiyo. Kama ni kweli basi hao watazamaji watakuwa na matatizo makubwa zaidi ya akili.
tumefika pabaya sana! sasa condom alivaa saa ngapi? au ni mwendo wa kujilipua tu?
Sitamani hata kuona hiyo picha maana ni udhalilishaji uliopitiliza kwa huyo mama wa watu. Just imagine ni mamako, dadako au mkeo ndiyo picha zake zianze kusambazwa hivyo mitandaoni. I wish kama yupo aliyepiga hiyo picha asiizambaze kabisa. Ni kitendo cha aibu kilichopindukia. Mahali pengine huyo mmama angeweza hata kujinyonga kabisa kutokana na aibu. Lakini kwa huku kwetu pengine linaweza kuchukuliwa kama ni tendo la kawaida.Mkuu nimejiuliza swali kama hilo.. Maana kama wananchi wanaweza kupambana na majambazi wakiwa na bunduki na wao mawe na kuwashinda.. Watashindwa nini kumpiga mawe hadi kumuua huyo Mjeshi aliefanya kitendo hicho..? Ukichukulia concentration ya jamaa ilikuwa kwenye tendo la kubaka so akawa prone kwa mashambulizi yote ambayo yangeanzishwa na umma mgongoni kwake..! M sry but its a very far fetched story hii.. Kungekuwa na hata ushahidi wa picha maana katika hao waliojazana hapo ina maana hapakuwa na mwenye hata cimu ya mchina..?
yani watu
hawakujichukulia sheria mkononi? kwa nini? yani wanamuogopa kwa sababu
ni mwanajeshi au? :A S angry:
Haiwezekani umati wakusanyike kushuhudia tu jambo la kinyama namna hiyo. Kama ni kweli basi hao watazamaji watakuwa na matatizo makubwa zaidi ya akili.
Mmmmm! hawajajichukulia sheria mkononi, wangefanya hivyo ki ukweli,huyo mjeda angegeuka roast! watu wangemchoma moto! nawasifu polisi kwa kutumia busara! najua watamkamata kistaarabu.