Jamaa (25) kamgegeda Binti wa dada yake (19).

Jamaa (25) kamgegeda Binti wa dada yake (19).

mbona hawakuikimbia usiku wa manane? walikuwa hawaoni aibu? wameshafanya kosa la kuzini, wasifanye kosa lingine kwa kuua kiumbe kisicho na hatia. walikabili tatizo kwa ujasiri ule ule waliokuwa nao usiku ule. mashetani wakubwa

Waswahili walisema heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Waswahili walisema heri nusu shari kuliko shari kamili

ni sawa lakini ndo waikwepe huiyo shari kamili kwa kuua kiumbe kisicho na hatia? honestly, they should face the music and dance, hahahahaaa!
 
..umeona tinna...!! dunia ipo upside down, watu hawana subira ninawasiwasi watoto watahamia kwa mama zao kwa mwendo huu sijui...!!

Ni upepo tu utapita na mengine yatatokea.
 
Kufuatana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971,
Ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanaume na
mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa
maisha yao.
AINA ZA NDOA;
Kuna aina mbili za ndoa ;
i) ndoa ya mke mmoja, hii ni ndoa ambapo mwanaume
ana mke mmoja tu.
ii] ndoa ya wake wengi, hii ni ndoa ambayo
mwanaume ana wake zaidi ya mmoja.
Ndoa itokanayo na dhana ya ndoa; hii ni ndoa
ambayo mwanamke na mwanaume wamekaa
pamoja ndani ya nyumba kama mke na mme
kwa muda wa miaka miwili na kuendelea na wote
wakapata hadhi ya kuwa wanandoa.
Je ni vipengele gani vya kuzingatia ili wanaotaka
kufunga ndoa wakubaliwe kisheria kufunga ndoa
yao?

(a) NI LAZIMA MUUNGANO UWE WA HIARI:
Mume na mke wawe wameamua kuishi pamoja kwa
ridhaa yao wenyewe. Hii inamaanisha kusiwe na
kulazimishwa, kuhadaiwa kwa aina yoyote kwani
muungano kama huo utakuwa batili kisheria. Ni
kosa la jinai kushiriki katika shughuli ya ndoa ambayo
mmoja wapo au wote wamelazimishwa kufunga
ndoa.
(b) MUUNGANO UWE NI KATI YA MWANAMKE
NA MWANAMUME:

Muungano wa watu wa jinsia moja hata kama ni wa
hiari muungano huo hautambuliki kisheria. Pia mtu
huhesabika mwanamke au mwanaume kutokana na
sehemu za siri alizozaliwa nazo na siyo alizozipata
baadaye. Jamii inachukulia kuwa ndoa ni njia pekee
ya kujipanua. Upanukaji huku ni kwa kuzaa watoto.
Kwa hali hiyo ili kupata watoto ni lazima ndoa iwe
kati ya mwanaume na mwanamke.
(c) MUUNGANO HUO UWE UNAKUSUDIWA
KUWA WA KUDUMU:

Pamoja na kuwa mwanamke na mwanaume
wameamua kuishi pamoja kwa hiari yao lakini siyo

kwa kudumu muungano huo hautambuliki kisheria
kama ndoa. Muungano ni lazima uwe wa kudumu
maisha yote au kama mmoja wao amefariki au
kama ndoa imekumbwa na matatizo na mahakama
ikaona ni bora kutoa talaka kwa yeyote aliyefika
kulalamika.
(d) WAFUNGA NDOA WASIWE MAHARIMU:
Maharimu ni watu walio na mahusiano ya karibu ya
damu au kindugu.
Wawili wanaoamua kufunga ndoa wasiwe na
uhusiano wa karibu kindugu. Inakatazwa katika
kifungu cha 14 cha Sheria ya ndoa ya mwaka
1971 mtu kuoa au kuolewa na mzazi wake, mtoto
au mjukuu wake, kama ni dada yake, mama au
shangazi au baba wa mjomba wake, baba au mama
wa kambo na mwanaye aliyemfanya kuwa mtoto
wake (adopted child).

(e) WAFUNGA NDOA WAWE WAMETIMIZA
UMRI UNAOKUBALIKA KISHERIA:
Mwanamke na mwanaume wawe wametimiza
miaka 18 ili kufunga ndoa. Hata hivyo mwanamke
anaweza kuolewa akiwa na umri wa chini ya miaka
18 lakini sio chini ya miaka 15 kama atapata idhini
ambayo hutolewa na baba na kama hayupo ni
mama au kama wote wamefariki idhini itatolewa na
mlezi wa binti huyo.
 
Zamani watu kama hao wanapigwa mawe hadi kufa ili kuiondolea nchi laana otherwise nchi inaweza hata kupata janga ambalo litaclaim many lives
 
Back
Top Bottom