Jamaa (25) kamgegeda Binti wa dada yake (19).

Jamaa (25) kamgegeda Binti wa dada yake (19).

ampe bint hela wakaitoe hiyo mimba kukimbia hiyo aibu inayowanyemelea

mbona hawakuikimbia usiku wa manane? walikuwa hawaoni aibu? wameshafanya kosa la kuzini, wasifanye kosa lingine kwa kuua kiumbe kisicho na hatia. walikabili tatizo kwa ujasiri ule ule waliokuwa nao usiku ule. mashetani wakubwa
 
attachment.php

...loh mkuu huyu ndo babaake yule dogo...?
 
Ushamgegeda mtoto wa dada yako.... POLE KWAKO!

Hata mimi nahisi mleta uzi ndio muhusika,maana alivyoipamba hadithi kutuaminisha kama jamaa hana kosa,eti bint mbichi kabisa!!! sio kila kizuri kitamu vingine vichungu
 
Mkuu haya si matamanio, hata wanyama hawafanyi haya Mkuu. Huu ni utaahira tena wa hali ya juu dah!!!!

Duh unaanzaje kumtamani nduguyo kiivo aisee!??

Dah:frusty::frusty::frusty:

Hivi hizi bastola zinapatikana wapi..i think kwa case kama hii ndipo kuliko na matumizi sahihi!
 
Duh unaanzaje kumtamani nduguyo kiivo aisee!??

Dah:frusty::frusty::frusty:

Hivi hizi bastola zinapatikana wapi..i think kwa case kama hii ndipo kuliko na matumizi sahihi!
hahahaha duh imeandikwa usiue
 
Hata mimi nahisi mleta uzi ndio muhusika,maana alivyoipamba hadithi kutuaminisha kama jamaa hana kosa,eti bint mbichi kabisa!!! sio kila kizuri kitamu vingine vichungu
vingine sumuuuuuuuuuuuuu
 
Kwa maelezo haya, tendo hili kama kweli limefanyika basi mtendaji ni wewe mleta mada hii. Inaelekea huna uvumilivu kiasi cha kumrukia mtoto wa dada yako. Mchimba kaburi huingia mwenyewe.
 
Hahahahahahahahahahahahaha mkuu umenichekesha sana ama kweli jf ni stress remover

...teh teh usicheke Ablessed, huyu mzee ndo mlezi wa mateja, inawezekana wameiga mambo ya dingi..teh teh inhii..
 
Sema Binti nae dizain alikuwa anautaka,,haya nayo matatizo ya kuchelewa na kupenda kuzaa kwa wazazi wetu yaan mtu na Uncle wake wamepishana miaka4?
 
Kuna video moja whassap ina majibu ya hii ishu
mzee anaulizwa kwa nini amempa mimba mwanafunzi..anajibu mimba nimeipa shule au mwanamke

So funny, wacha wazae tu
 
Back
Top Bottom