Jamaa (25) kamgegeda Binti wa dada yake (19).

Jamaa (25) kamgegeda Binti wa dada yake (19).

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Jamaa mmoja (jina limehifadhiwa), Umri miaka 25, kamgegeda mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 19.
Kisa kilikuwa hivi:-
-Binti kaja likizo kwa babu yake, kwao na jamaa.
-Jamaa kaenda kumpokea binti Airport.
-Zile hug pale Airport zilituchanganya wapambe.
-One night jamaa yuko sitting room na binti.
-Chatting by a shared computer zikaamsha hisia, I mean walikuwa wanatumia laptop moja ku chat kwa zamu wakiwa kwenye kochi moja.
-later wakaagana, kila mmoja akaenda kwenye chumba chake.
-Later demu kagonga chumbani kwa jamaa akiwa kavaa night dress, kwa kisingizio eti anataka kumalizia ku chat na rafiki yake.
-Binti kaomba akae kidogo kwenye next bed pale pale chumbani kwa jamaa ili amalizie chatting zake.
-Ule mwanga wa Laptop ukawa unamulika kila kitu ndani ya night dress nyepesi ya binti.
-Jamaa uzalendo ukamshinda akamdaka binti ambaye ni mtoto wa dada yake kabisa baba mama mmoja!
-Binti hakupinga, ilikuwa ni kama anaisubiri hali hii kwa muda mrefu!
-Binti ni mzuri sana na mbichi vya kutosha, She has just turned 19 years old!
-Jamaa kamkuta binti bikra, kwa kifupi kamtoa bikira!
-Kwa sasa binti ana mimba ya miezi 3 na yuko Chuo!
HIYO NDIYO HALI HALISI!
NIMEIFUPISHA SANA STORY BUT THIS IS BASED ON A TRUE STORY NA JAMAA KAPAGAWA KWELI! HAJUI AFANYE NINI!
UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?
-Jamaa akashindwa kuvumilia, akamdaka
 
Kama kuna vichaa huku duniani basi huyo kamaa ni mwl wao! KUMTOA DADA YAKO BIKRA NA MIMBA JUU!VIHEREHERE
 
Kisheria,wasithubutu kutaka kuoana.Watafungwa
VUTA-NKUVUTE huyo jamaa anajua huo ni msala maana hawa wako kwenye prohibited relationship hawawezi hata kuoana
Tamaa gani hizo aise mpaka kwa mtoto wa dada yako alishindwa nini kumwambia hivi unavyonijia room sio na hata ile kumvulia nguo
Prohibited relationships
(1) No person shall marry his or her grandparent, parent, child or grandchild, sister or brother, great-aunt or great-uncle, aunt or uncle, niece or nephew, as the case may be.
 
Last edited by a moderator:
Duh hili timbwilitimbwili, kama vipi wazae tu haina noma. Kila la kheri kwao...!!
 
ningekuwa hakimu wa mapenzi ningewanyonga wengi humu ndani hakiwamo uyo jamaa pumbaf kabis
 
Hiyo laana sasa, of course mtu anaweza kufikiria waitoe mimba ila sio kitu kizuri na madhara yake huwa ni makubwa. Its against God's will. Ngumu sana kushauri katika hili. Unless binti asimtaje jamaa ili kuficha ukweli.
 
genye zingine nouma, na akome wewe mpaka damu yake, yani ningekuwa mimi ndo dada yake ningempiga risasi 2 za kwenye kalio.
 
Hebu iweke sawa hii maana sheria hazijanikalia vizuri maana nilitaka kuwashauri waende wakabariki ndoa hawa watu
Mkuu Mvaa Tai, Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 ya Tanzania inakataza ndoa ya watu walio na mahusiano ya karibu. Kifungu husika amekiandika Mr Rocky hapo juu. Kati ya wanaokatazwa ni kama huyo jamaa na mpwa wake
 
Last edited by a moderator:
Duh unaanzaje kumtamani nduguyo kiivo aisee!??

Dah:frusty::frusty::frusty:

Hivi hizi bastola zinapatikana wapi..i think kwa case kama hii ndipo kuliko na matumizi sahihi!
 
Jamaa mmoja (jina limehifadhiwa), Umri miaka 25, kamgegeda mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 19.
Kisa kilikuwa hivi:-
-Binti kaja likizo kwa babu yake, kwao na jamaa.
-Jamaa kaenda kumpokea binti Airport.
-Zile hug pale Airport zilituchanganya wapambe.
-One night jamaa yuko sitting room na binti.
-Chatting by a shared computer zikaamsha hisia, I mean walikuwa wanatumia laptop moja ku chat kwa zamu wakiwa kwenye kochi moja.
-later wakaagana, kila mmoja akaenda kwenye chumba chake.
-Later demu kagonga chumbani kwa jamaa akiwa kavaa night dress, kwa kisingizio eti anataka kumalizia ku chat na rafiki yake.
-Binti kaomba akae kidogo kwenye next bed pale pale chumbani kwa jamaa ili amalizie chatting zake.
-Ule mwanga wa Laptop ukawa unamulika kila kitu ndani ya night dress nyepesi ya binti.
-Jamaa uzalendo ukamshinda akamdaka binti ambaye ni mtoto wa dada yake kabisa baba mama mmoja!
-Binti hakupinga, ilikuwa ni kama anaisubiri hali hii kwa muda mrefu!
-Binti ni mzuri sana na mbichi vya kutosha, She has just turned 19 years old!
-Jamaa kamkuta binti bikra, kwa kifupi kamtoa bikira!
-Kwa sasa binti ana mimba ya miezi 3 na yuko Chuo!
HIYO NDIYO HALI HALISI!
NIMEIFUPISHA SANA STORY BUT THIS IS BASED ON A TRUE STORY NA JAMAA KAPAGAWA KWELI! HAJUI AFANYE NINI!
UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?
-Jamaa akashindwa kuvumilia, akamdaka

Amuongeze mimba nyingine tu.
 
attachment.php
 
hii story ya kutunga au kama ni kweli ameficha ficha baadhi ya vitu.... unatoaje bikra ndani ya nyumba alafu vyumba vingne wasisikie hizo shangwe na mayowe adi mimba inaingia?? aah
 
  • Thanks
Reactions: SMU
acheni MAJUNGU jamani...19 si mkubwa MZIMA...KWANI YULE WA KAPUJA ALIKUAGA NA MIAKA MINGAPI....WAKATI KAPUJA ALIKUWA KAMA ANA MIAKA TRILLION TATU HIVI
 
Back
Top Bottom