G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wakuu tv ya kwanza ilikufa kioo kilibadilika rangi na kuwa chekundu chenye mamistari fundi alijaribu kwa sumaku na njia zingine ikashindikana saiz nimenunua nyingine naona tena dalili zilezile za rangi nyekundu pembezoni mwa tv je nifanye nini na chanzo kitakuwa nini msaada pls nimejaribu ondoa vitu kama spika na vingine kwamba huenda vinaakisi imeshindikana msaada plz!