Rudbway
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 295
- 159
Bahat nzur nakutana na hii thread na comment unayogusia novel nzur nmewahi kuisoma, nataman huu mjadala urudi tena! Basi baada ya kusema hayo....Kuna hii kitu "the great of gatsby"...ichekini afu mseme
Hii Ni novel imetunzwa na Fitzgerald marehem Kwa sasa, nliipatia lkn sijamalza, movie yake sijaangalia, labda kama una link weka hapa mkuu nasisi tuipitie Kiwatengu