Jalada la Rage kutinga kwa DPP - Kamanda Polisi Dodoma

Jalada la Rage kutinga kwa DPP - Kamanda Polisi Dodoma

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
fg%201.jpg
​​
ffffffffffffffffffff.jpg

ISMAEL ADEN RAGE AANDALIWA MASHTAKA - KAMANDA POLISI DODOMA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime amesema kuwa wanaandaa jalada la kuhusika kwa Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage kwa ajili ya kuliwasilisha kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP). Kamanda Misime alisema jana kuwa wako mbioni kukamilisha jalada hilo ili walipeleka kwa DPP kwa ajili ya kufikishwa mahakamani.“Ni kweli tumepokea malalamiko ya Chadema na tunaandaa malalamiko ili kuwasilisha kwa mwanasheria na Serikali,” alisema Misime.

Hayo yamekuja kutokana na vurugu zilizotokea kati ya wafuasi wa Chadema na baadhi ya wabunge wa CCM, akiwamo Rage wakati walipokuwa wakigombea mlingoti wa bendera kitendo kilichosababisha watu watatu kujeruhiwa katika tukio hilo wikiendi iliyopita mjini Dodoma. Hata hivyo, Rage amekana kuhusika na vurugu hizo akisema anaamini uchunguzi kuhusu tukio hilo utamuweka huru kabla au baada ya kufikishwa mahakamani kwa sababu hakushiriki wala kumpiga mwanaChadema aliyetangaza kumshtaki. “Sikumpiga. Historia yangu inaonyesha kuwa sijawahi kushiriki vitendo vya vurugu wala mapigano kwa sababu yoyote ile. Mimi siyo mhuni wa kupiga mtu. Nilichofanya ni kumlinda yule kijana asipigwe na wanaCCM waliojaa hasira kwa yeye kuingilia mkutano wetu,” alisema Rage, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.

Alisema kada wa Chadema ndiye chanzo cha vurugu hizo zilizoishia kwa kujeruhiwa na wanaCCM baada ya kuvamia eneo la mkutano wa chama hicho.
“Baada ya kuona kitendo hicho, mimi pamoja na Mwenyekiti wa CCM wa Iringa, Deo Sanga, kama viongozi tulimfuata kijana yule na kumsihi asifanye hivyo baada ya kuona vijana wa CCM waliokuwapo eneo lile wanaanza kupandisha jazba ambazo tusingemudu kuzizuia, lakini hakutusikilizwa,” alisema.

Rage alisema baada ya kuona kijana huyo anaanza kushambuliwa na wanaCCM ndipo alipolazimika kuingilia kati kuwaamulia na kumkinga asipigwe na mawe na majabali yaliyokuwa yameshikwa na wanaCCM, ambapo kijana huyo alifanikiwa kuchomoka na kukimbia.
Alisema kabla ya vurugu, kundi dogo la wafuasi wa Chadema lilikuwapo eneo la mkutano wakiwa na bendera ya chama hicho bila kufanya vurugu yoyote, ambapo yeye aliwasihi kuwaacha wasikilize sera za chama hicho kwani mkutano ulikuwa wazi kwa wananchi wote bila kujali itikadi za vyama.

Hata hivyo, picha zilizopigwa na kuchapishwa kwenye vyombo vya habari zilimwonyesha Rage na wafuasi wa CCM wengine wakiwa katikati ya vurugu hizo na juzi uongozi wa Chadema Wilaya ya Dodoma ulitangaza kumburuta mahakamani mbunge huyo kwa tuhuma za kujeruhi, kung’oa na kuharibu mali za chama hicho kikuu cha upinzani nchini.

Kauli ya Rage imetokana na kitendo cha uongozi wa Chadema wa Wilaya ya Dodoma kutangaza nia ya kumshtaki baada ya kumpiga kada wao. Makada wa CCM na Chadema walipigana Jumapili iliyopita wakati wa maadhimisho ya miaka 36 ya CCM mjini Dodoma.

Vurugu hizo zilizuka baada ya wafuasi wa Chadema kukasirishwa na kitendo cha vijana wa CCM kung’oa bendera yao wakati wakiendesha mkutano kwenye eneo la Mwanga Baa mjini Dodoma. Wafuasi hao wa Chadema walilazimisha kurudisha bendera yao wakati mkutano ukiendelea, ndipo makada wa CCM waliojumuisha wabunge wa Jamhuri ya Muungano walipoamua kuwapiga kwa kuwarushia mawe wafuasi hao na kusababisha kuumia kichwani kwa kada wa Chadema.

Wabunge wa CCM waliokuwa katika tukio hilo ukiacha
Aden Rage
Seleman Jafo,
Said Mtanda,
Mary Chatanda
Nyambari Nyangwine.

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumzia suala hilo alimtetea Rage, akisema alikuwa akiamua ugomvi huo na kama isingekuwa yeye mauaji yangetokea. “Hakuhusika yeye alikuwa akiamua ugomvi na kama asingekuwepo mauaji yangetokea,” alisema Ndugai.
Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama alisema kwamba hajapata taarifa za kuwapo kwa tukio hilo.

fg%201.jpg
​​
ffffffffffffffffffff.jpg

ISMAEL ADEN RAGE AANDALIWA MASHTAKA - KAMANDA POLISI DODOMA

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumzia suala hilo alimtetea Rage, akisema alikuwa akiamua ugomvi huo na kama isingekuwa yeye mauaji yangetokea. “Hakuhusika yeye alikuwa akiamua ugomvi na kama asingekuwepo mauaji yangetokea,” alisema Ndugai.
Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama alisema kwamba hajapata taarifa za kuwapo kwa tukio hilo.

Tumefika hapa? Yani kila patokeapo fujo basi mauaji yanatabiriwa? Kauli za rejareja kama hizi zikomeshwe kwa kweli
 
Here we go again, maigizo maigizo maigizo, hakuna chochote, maigizo tu, utashangaa baada ya muda kimya, hakuna cha kesi wala nini, kwani wale wabunge wa CHADEMA mwanza kesi yao iliishia wapi, hivi hata ulifanyika upelelezi wa awali, wanaigiza tu kwakuwa kuna picha za wazi, hakuna lolote litakalo fanyika
 
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumzia suala hilo alimtetea Rage, akisema alikuwa akiamua ugomvi huo na kama isingekuwa yeye mauaji yangetokea. "Hakuhusika yeye alikuwa akiamua ugomvi na kama asingekuwepo mauaji yangetokea," alisema Ndugai. [/COLOR][/FONT]Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama alisema kwamba hajapata taarifa za kuwapo kwa tukio hilo.[/SIZE]
[/FONT][/COLOR][/QUOTE]
Angalau Ndugai umetukumbusha kitu ambacho wengi tunakifahamu; kuwa wana CCM ni wauaji. Ina bidi tuongeze tahadhari wanapoingia kwenye anga zetu.
 
Ukiangalia picha hiyo kubwa, Rage hakuwa aakimua ugomvi, alikuwa anapokonya mlingoti wa bendera kutoka kwa huyo bwana wa magwanda. Ingekuwa anaamua ugomvi basi angekuwa amewashika ama kuwazuia hao wanachama wenzake wasimsulubu magwanda.
 
Ugomvi anaokuwepo Kideku na Songoro akosekani... Rage ni wana Magomvi hata kwao Somalia wamezoea... Siku ya kwanza niliaminishwa Rage akimsokomeza Jiti Kada wa CDM kumbe alikuwa anampokonya mlingoti wa bendera!
 
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumzia suala hilo alimtetea Rage, akisema alikuwa akiamua ugomvi huo na kama isingekuwa yeye mauaji yangetokea.
"Hakuhusika yeye alikuwa akiamua ugomvi na kama asingekuwepo mauaji yangetokea," alisema Ndugai.
 
Mwenye picha ya gazeti la mtanzania aiweke , utamwona Rege akitoa kichapo kwa huyo kada....
 
Mh! DPP alivyo mchovu itachukuwa miaka kabla ya kesi hii kufikishwa mahakamani!
 
Hata mkimfikisha mahakamani , Rage haogopi Mahakama , Alishawahi kufungwa Kwa kosa la WIZI WA MIPIRA NA FILIMBI KADHAA pale FAT , na akatoka Kishujaa kwa msamaha wa Rais !
 
mh! Dpp alivyo mchovu itachukuwa miaka kabla ya kesi hii kufikishwa mahakamani!

dpp yupi tena? Ni slowman feleshi college mate wangu au? Hilo jalada litapotea kabla hata halijafika kwake. Labda dpp angekuwa tibaigana toka muleba
 
ffffffffffffffffffff.jpg

ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
bookmark
ico_print.png
Print Email Rating

aden_rage.jpg

Picha ikionyesha tukio lililofanywa na Mbunge wa Tabora Mjini,Aden Rage.

Na Peter Saramba, Arusha na Habel Chidawali, Dodoma

Kanda+Chadema+Iddi+Kizito+akidhibitiwa+na+Polisi.jpg

Posted Jumatano,Februari6 2013 saa 20:52 PM

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime amesema kuwa wanaandaa jalada la kuhusika kwa Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage kwa ajili ya kuliwasilisha kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).

Kamanda Misime alisema jana kuwa wako mbioni kukamilisha jalada hilo ili walipeleka kwa DPP kwa ajili ya kufikishwa mahakamani."Ni kweli tumepokea malalamiko ya Chadema na tunaandaa malalamiko ili kuwasilisha kwa mwanasheria na Serikali," alisema Misime.

Hayo yamekuja kutokana na vurugu zilizotokea kati ya wafuasi wa Chadema na baadhi ya wabunge wa CCM, akiwamo Rage wakati walipokuwa wakigombea mlingoti wa bendera kitendo kilichosababisha watu watatu kujeruhiwa katika tukio hilo wikiendi iliyopita mjini Dodoma.
Hata hivyo, Rage amekana kuhusika na vurugu hizo akisema anaamini uchunguzi kuhusu tukio hilo utamuweka huru kabla au baada ya kufikishwa mahakamani kwa sababu hakushiriki wala kumpiga mwanaChadema aliyetangaza kumshtaki.

"Sikumpiga. Historia yangu inaonyesha kuwa sijawahi kushiriki vitendo vya vurugu wala mapigano kwa sababu yoyote ile. Mimi siyo mhuni wa kupiga mtu. Nilichofanya ni kumlinda yule kijana asipigwe na wanaCCM waliojaa hasira kwa yeye kuingilia mkutano wetu," alisema Rage, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.

Alisema kada wa Chadema ndiye chanzo cha vurugu hizo zilizoishia kwa kujeruhiwa na wanaCCM baada ya kuvamia eneo la mkutano wa chama hicho.

"Baada ya kuona kitendo hicho, mimi pamoja na Mwenyekiti wa CCM wa Iringa, Deo Sanga, kama viongozi tulimfuata kijana yule na kumsihi asifanye hivyo baada ya kuona vijana wa CCM waliokuwapo eneo lile wanaanza kupandisha jazba ambazo tusingemudu kuzizuia, lakini hakutusikilizwa," alisema.

Rage alisema baada ya kuona kijana huyo anaanza kushambuliwa na wanaCCM ndipo alipolazimika kuingilia kati kuwaamulia na kumkinga asipigwe na mawe na majabali yaliyokuwa yameshikwa na wanaCCM, ambapo kijana huyo alifanikiwa kuchomoka na kukimbia.

Alisema kabla ya vurugu, kundi dogo la wafuasi wa Chadema lilikuwapo eneo la mkutano wakiwa na bendera ya chama hicho bila kufanya vurugu yoyote, ambapo yeye aliwasihi kuwaacha wasikilize sera za chama hicho kwani mkutano ulikuwa wazi kwa wananchi wote bila kujali itikadi za vyama.

Hata hivyo, picha zilizopigwa na kuchapishwa kwenye vyombo vya habari zilimwonyesha Rage na wafuasi wa CCM wengine wakiwa katikati ya vurugu hizo na juzi uongozi wa Chadema Wilaya ya Dodoma ulitangaza kumburuta mahakamani mbunge huyo kwa tuhuma za kujeruhi, kung'oa na kuharibu mali za chama hicho kikuu cha upinzani nchini.

Kauli ya Rage imetokana na kitendo cha uongozi wa Chadema wa Wilaya ya Dodoma kutangaza nia ya kumshtaki baada ya kumpiga kada wao.
Makada wa CCM na Chadema walipigana Jumapili iliyopita wakati wa maadhimisho ya miaka 36 ya CCM mjini Dodoma.

Vurugu hizo zilizuka baada ya wafuasi wa Chadema kukasirishwa na kitendo cha vijana wa CCM kung'oa bendera yao wakati wakiendesha mkutano kwenye eneo la Mwanga Baa mjini Dodoma.
Wafuasi hao wa Chadema walilazimisha kurudisha bendera yao wakati mkutano ukiendelea, ndipo makada wa CCM waliojumuisha wabunge wa Jamhuri ya Muungano walipoamua kuwapiga kwa kuwarushia mawe wafuasi hao na kusababisha kuumia kichwani kwa kada wa Chadema.

Wabunge wa CCM waliokuwa katika tukio hilo ukiacha Rage ni pamoja na Seleman Jafo, Said Mtanda, Mary Chatanda na Nyambari Nyangwine.

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumzia suala hilo alimtetea Rage, akisema alikuwa akiamua ugomvi huo na kama isingekuwa yeye mauaji yangetokea.
"Hakuhusika yeye alikuwa akiamua ugomvi na kama asingekuwepo mauaji yangetokea," alisema Ndugai.

Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama alisema kwamba hajapata taarifa za kuwapo kwa tukio hilo.
 
Rage ni Mgomvi....hata mpira pesa wanajua
 
Hivi kumbe hata Ndungai naye alikuwepo? cause ushahidi huu aliouleta haiwezekani akasema hayo aliyosema kama hakuwepo at the scene area! Kwanini naye asiisaidie Police?
 
KITAIFA
[h=1][/h]

aden_rage.jpg

Picha ikionyesha tukio lililofanywa na Mbunge wa Tabora Mjini,Aden Rage.

Na Peter Saramba, Arusha na Habel Chidawali, Dodoma

Posted Jumatano,Februari6 2013 saa 20:52 PM

KWA UFUPI
“Sikumpiga. Historia yangu inaonyesha kuwa sijawahi kushiriki vitendo vya vurugu wala mapigano kwa sababu yoyote ile. Mimi siyo mhuni wa kupiga mtu. Nilichofanya ni kumlinda yule kijana asipigwe na wanaCCM waliojaa hasira kwa yeye kuingilia mkutano wetu,” alisema Rage, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime amesema kuwa wanaandaa jalada la kuhusika kwa Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage kwa ajili ya kuliwasilisha kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).

Kamanda Misime alisema jana kuwa wako mbioni kukamilisha jalada hilo ili walipeleka kwa DPP kwa ajili ya kufikishwa mahakamani.“Ni kweli tumepokea malalamiko ya Chadema na tunaandaa malalamiko ili kuwasilisha kwa mwanasheria na Serikali,” alisema Misime.

Hayo yamekuja kutokana na vurugu zilizotokea kati ya wafuasi wa Chadema na baadhi ya wabunge wa CCM, akiwamo Rage wakati walipokuwa wakigombea mlingoti wa bendera kitendo kilichosababisha watu watatu kujeruhiwa katika tukio hilo wikiendi iliyopita mjini Dodoma.
Hata hivyo, Rage amekana kuhusika na vurugu hizo akisema anaamini uchunguzi kuhusu tukio hilo utamuweka huru kabla au baada ya kufikishwa mahakamani kwa sababu hakushiriki wala kumpiga mwanaChadema aliyetangaza kumshtaki.

“Sikumpiga. Historia yangu inaonyesha kuwa sijawahi kushiriki vitendo vya vurugu wala mapigano kwa sababu yoyote ile. Mimi siyo mhuni wa kupiga mtu. Nilichofanya ni kumlinda yule kijana asipigwe na wanaCCM waliojaa hasira kwa yeye kuingilia mkutano wetu,” alisema Rage, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.

Alisema kada wa Chadema ndiye chanzo cha vurugu hizo zilizoishia kwa kujeruhiwa na wanaCCM baada ya kuvamia eneo la mkutano wa chama hicho.

“Baada ya kuona kitendo hicho, mimi pamoja na Mwenyekiti wa CCM wa Iringa, Deo Sanga, kama viongozi tulimfuata kijana yule na kumsihi asifanye hivyo baada ya kuona vijana wa CCM waliokuwapo eneo lile wanaanza kupandisha jazba ambazo tusingemudu kuzizuia, lakini hakutusikilizwa,” alisema.

Rage alisema baada ya kuona kijana huyo anaanza kushambuliwa na wanaCCM ndipo alipolazimika kuingilia kati kuwaamulia na kumkinga asipigwe na mawe na majabali yaliyokuwa yameshikwa na wanaCCM, ambapo kijana huyo alifanikiwa kuchomoka na kukimbia.

Alisema kabla ya vurugu, kundi dogo la wafuasi wa Chadema lilikuwapo eneo la mkutano wakiwa na bendera ya chama hicho bila kufanya vurugu yoyote, ambapo yeye aliwasihi kuwaacha wasikilize sera za chama hicho kwani mkutano ulikuwa wazi kwa wananchi wote bila kujali itikadi za vyama.

Hata hivyo, picha zilizopigwa na kuchapishwa kwenye vyombo vya habari zilimwonyesha Rage na wafuasi wa CCM wengine wakiwa katikati ya vurugu hizo na juzi uongozi wa Chadema Wilaya ya Dodoma ulitangaza kumburuta mahakamani mbunge huyo kwa tuhuma za kujeruhi, kung’oa na kuharibu mali za chama hicho kikuu cha upinzani nchini.

Kauli ya Rage imetokana na kitendo cha uongozi wa Chadema wa Wilaya ya Dodoma kutangaza nia ya kumshtaki baada ya kumpiga kada wao.
Makada wa CCM na Chadema walipigana Jumapili iliyopita wakati wa maadhimisho ya miaka 36 ya CCM mjini Dodoma.

Vurugu hizo zilizuka baada ya wafuasi wa Chadema kukasirishwa na kitendo cha vijana wa CCM kung’oa bendera yao wakati wakiendesha mkutano kwenye eneo la Mwanga Baa mjini Dodoma.
Wafuasi hao wa Chadema walilazimisha kurudisha bendera yao wakati mkutano ukiendelea, ndipo makada wa CCM waliojumuisha wabunge wa Jamhuri ya Muungano walipoamua kuwapiga kwa kuwarushia mawe wafuasi hao na kusababisha kuumia kichwani kwa kada wa Chadema.

Wabunge wa CCM waliokuwa katika tukio hilo ukiacha Rage ni pamoja na Seleman Jafo, Said Mtanda, Mary Chatanda na Nyambari Nyangwine.

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumzia suala hilo alimtetea Rage, akisema alikuwa akiamua ugomvi huo na kama isingekuwa yeye mauaji yangetokea.
“Hakuhusika yeye alikuwa akiamua ugomvi na kama asingekuwepo mauaji yangetokea,” alisema Ndugai.

Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama alisema kwamba hajapata taarifa za kuwapo kwa tukio hilo.

nngu007;

Hata hivyo, Rage amekana kuhusika na vurugu hizo akisema anaamini uchunguzi kuhusu tukio hilo utamuweka huru kabla au baada ya kufikishwa mahakamani kwa sababu hakushiriki wala kumpiga mwanaChadema aliyetangaza kumshtaki."Sikumpiga. Historia yangu inaonyesha kuwa sijawahi kushiriki vitendo vya vurugu wala mapigano kwa sababu yoyote ile. Mimi siyo mhuni wa kupiga mtu. Nilichofanya ni kumlinda yule kijana asipigwe na wanaCCM waliojaa hasira kwa yeye kuingilia mkutano wetu," alisema Rage, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.

Ulimwengu wa Digital njia ya mwongo fupi mno kama Rage anavyofanya.

Picha inaonesha wananyang"anyana mlingoti wa bendera ambao hauoneshi una bendera ya chama gani. Ushahidi huu hautatusaidia, labda angeonekana amekunja ngumi.
 
Hii ni danganya toto hawatafanya chocho serikali dhaifu
 
Back
Top Bottom